Habari zenu,
Asanteni sana wana member wa Jf nakumbuka niliandika humu nikiwa nataka kupata mke mwema aliyesoma mwisho level ya diploma hatimaye nimempata tayari na anaitwa Rose na anasifa zote...
Habari zenu wanajamvi,
Mimi ni mgeni katika jukwaa. Nimejiunga humu kwajili ya kuomba ushauri tu.
Katika familia yetu mimi ni second born. Ambapo tumezaliwa watoto watano. Kaka yangu...
Mimi na mpenzi wangu tumefahamiana tangia tukiwa wadogo maana sisi ni family frieds ila namzidi kwa miaka 4 na kwa sasa ana soma Diploma mwaka wa katika chuo cha Utumishi wa Umma.
Uhusiano...
Wapendwa wana Jf nawasalimu,
Ndoa yangu ilifikia ukingoni rasmi mwaka Juzi 2013 mwezi Februari, hata hivyo kabla ya hapo tulikua tumetengana kwa karibu mwaka mmoja nyuma.
Chanzo cha ugomvi wetu...
KUNA USEMI KUWA KILA BINADAMU ANA HISIA,SASA SI JAMBO GENI KUSIKIA MWALIMU WA KIUME ANATEMBEA KIMAPENZI NA MWANAFUNZI WA KIKE(INGAWA NI KOSA KISHERIA)JE,KUNA UWEZEKANO MWALIMU WA KIKE NAE KUWA...
She wrote a note that said "You ever had sex
before?"
Damn
I wrote back and said: "of course I had sex
before"
Knowing I was frontin'
I said, "I'm like a pro, baby," knowing I was
stuntin'
But if...
Nimefanya kazi kwenye makampuni mengi ya uchimbaji madini, kwa miaka takribani mitano bila kujenga nyumba, kila nilipofika nyumbani kwa ajili ya likizo baba alikuwa ananiuliza swali ambalo...
Wadau wana JF,
Baada ya kumuacha yule dada na kuweka namba yangu kwenye bango na kuandika 'Mganga kutoka Nigeria' nimempata mdada mwingine ni mzuri sana lakini tupo wanaume wannne na wote...
You know when you meet a girl and she's awesome, then one day you wake up and realize months have gone by and you haven't seen your friends, and you totally forgot about angling for that promotion...
Nimekuwa nikijiuliza kila siku naona kuna bandiko humu la watu kutafuta wapenzi je ni kweli wanafanikiwa kuwapata? na wakiwapata ni changamoto gani wanakumbana nazo? maana asilimi kubwa ya wanao...
habari wanaJF,
Naomba tuwekane wazi kwakweli, kutapeliana sio kuzuri na ndio mwanzo wa watu kutoka nje ya ndoa na mahusiano yao.
Kama mkeo/mpenzi/mchepuko hazungushi feni kitandani...hapo...
Huu wimbo ukiusikiliza hadi unalowaa barakah da prince kajitahidi
Mahaba mazito sana
Mimi bado nina imanii
Ipo siku utanipa thamaniii
Jua mi siachani na weee
na sishindani na weee
Maana...
Wanajukwaa, ni kawaida na tumeshazoea kusikia vilio vya maboys na mamen vinavyohusu kutendwa na magirls na mawomen ambao wameharsal nao ktk maisha, hasa pale mwanamke anafikia hatua fulani ya...
Mwawaambiaje wanetu?
Nikitumai mu buheri wa afya, mimi mwenzenu sina neno.
Wamama nachukua fursa hii kuamsha ari ya wapenzi wa jukwaa letu katikana kubadilishana yote yaliyo mema maishani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.