Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,805
Nimekuwa nikijiuliza kila siku naona kuna bandiko humu la watu kutafuta wapenzi je ni kweli wanafanikiwa kuwapata? na wakiwapata ni changamoto gani wanakumbana nazo? maana asilimi kubwa ya wanao acces mitandao ya kijamii hasa jf ni wajuaji sana!