Kukosea namba ndio mwanzo wa kumtongoza mtu?

Kukosea namba ndio mwanzo wa kumtongoza mtu?

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,388
Habarini,

Nina ndugu yangu askari <ke> alipigiwa simu na namba asiyoijua <2013> akidai amekosea namba ila anapenda wafahamiane tu ndugu yangu hakusita wakafahamiana ila hakumwambia cheo/kazi aliyo nayo,
wamewasiliana kwa mda mrefu na kufanikiwa kuonana kwani walikuwa wanaishi mikoa tofauti mwanaume <Dar>
mwanamke <Arusha> baada ya kuonana kila mtu alirejea kwao.

Kilichotokea;

i> Mwanaume kila akipanga jambo halitimii yaan e.g, watapanga watafute kiwanja mwanaume atakubali kwa moyo 1 nakumwambia kuwa anaanza kuweka pesa benki mwisho wa siku hajatimiza.

ii> Utambulisho wa uchumba umefanyika vizuri tena mwanaume ndie wa kwanza kusambaza taarifa kwa ndugu na rafiki kazini, na kwao walikuwa wana msisitza aoe kwani ana uwezo mkubwa hivo na kumsisitiza ndg yangu ajitunze asije kumuaibisha.

Ila ilipofika wakati wa ndoa jambo hilo lilshindkana ikawa kila siku kesho hatimae mwaka mtu yupo kimya na hana wasiwasi anadai ubize yaani mambo mengi.

Hivyo ndugu yangu akaamua amuache na kuwaaga ndug wa mwanaume kwu kutoa taarifa ya kutoendelea nae na kuamua aendelee na mambo yake, na ukzingatia mtu mwenyewe alimpata kwa wrong number, miezi sita sasa ndugu yangu yupo kwenye ndoa na mtu mwingine, ameletewa taarifa zote za yule mtu alie long number ndio kuja kumwaga mambo yote nyumbani kuwa.

i> Ubize na kutotilia maanani mambo ya muhimu na kutofanyia kazi kwa nguvu mambo yote ya muhimu kwa wakati alikuwa sio yeye hiyo ni baada ya wazazi wake kuona amefikisha miaka 38 bila kupata mtt hata wakusingziwa na huku ameajiriwa akiwa na miaka 27 mgodini.

Wazazi wake waliamua wakamuombee kwa viongozi wa dini kwani alikuwa kila dada anae kuwa nae hawezi kufunga nae ndoa na kuanzisha familia,ndipo wakagundua kuwa alikuwa na mapepo yaliyo muweka bize mda wote na kuto watamani wasichana au kuzaa mtoto it means aliolewa na majini kwa hiyo wasichana wengine walio tambulishwa kwa wazazi wake hao walikuwa kizugio ili kuwapoza wazazi na kwamba hakupaswa kulala nao/ kuzaa na kufunga ndoa, Ila awe single tu.

Hayo ndio yaliyo mkuta ndugu yangu kwenye mambo ya wrong number,tuwe makini watu wanaokuwa bize na ulimwengu sio wao wameagizwa na hawajielewi mpaka wapate ufufuo mpya wa miili yao.
 
Nimekumbuka ushuhuda wa mkaka mmoja tb Joshua nae alipata msichana wa mtandaoni toka nchi tofauti wakatumiana picha. Ilipofika zamu ya kaka kupokea picha kwa email akakutana na fuvu la kichwa chamtu. Kwanzia siku hiyo yule kaka mambo yake yakawa hayaendi
 
Hako kamchezo niliwah kukafanya siku nyingi, mara nyingi huwa hatukosei
 
Nimekumbuka ushuhuda wa mkaka mmoja tb Joshua nae alipata msichana wa mtandaoni toka nchi tofauti wakatumiana picha. Ilipofika zamu ya kaka kupokea picha kwa email akakutana na fuvu la kichwa chamtu. Kwanzia siku hiyo yule kaka mambo yake yakawa hayaendi

Kwahiyo unatuambia kuna uhusiano kati ya hayo mauzauza(supposedly), na mikosi inayomwandama huyo jamaa?
 
Rekebisha tu
yo ndio yaliyo mkuta ndugu yangu kwenye mambo ya long number,
tuwe makini watu wanaokuwa bize na ulimwengu sio wao wameagizwa na hawajielewi mpaka wapate ufufuo mpya wa miili yao.
utarekebisha wapi na wapi upaacha wakati hadithi nzima ni ya UONGO kuliko zile za Shigongo
Long number au Wrong Number
wewe unawaambia wenzako wako Bize na Ulimwengu wewe ni nani usiyebize na ulimwengu
au ndio wale walokole wa Gwajima
 
Katika uandish huwezi kuwa ok, kwani sipo kwenye mashindano ya utunzi

Ni kweli huwezi kuwa ok coz kuna kupachia........I mean kuchapia.........lakini......mbona long number na wrong number ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa..........

ungeedit ili iwe rahisi kutiririka kusoma...........
 
Hayo ndio yaliyo mkuta ndugu yangu kwenye mambo ya long number,
tuwe makini watu wanaokuwa bize na ulimwengu sio wao wameagizwa na hawajielewi mpaka wapate ufufuo mpya wa miili yao.

Aisee!!....‘Long number' ni hatari!!
 
Ni kweli huwezi kuwa ok coz kuna kupachia........I mean kuchapia.........lakini......mbona long number na wrong number ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa..........

ungeedit ili iwe rahisi kutiririka kusoma...........

Long number labda anamaanisha kupigiwa simu na mtu kutoka mbali (a stranger)!
 
Walimu wa comprehension/Ufahamu na uandishi huko mashuleni kwa kweli wapigwe tu kwani hakuna namna. Paragraph sijui mbili lakini ni bonge la mparaganyiko balaa. Kazi ipo!
 
Back
Top Bottom