Njiapanda, sijui ametuloga?

Njiapanda, sijui ametuloga?

kibunange

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
165
Reaction score
148
Wadau wana JF,

Baada ya kumuacha yule dada na kuweka namba yangu kwenye bango na kuandika 'Mganga kutoka Nigeria' nimempata mdada mwingine ni mzuri sana lakini tupo wanaume wannne na wote tunajuana na hakuna aliyepo tayari kumuacha huyu dada ametuloga au ni kawaida.

Naombeni ushauri ila matusi sitaki
 
ss mkuu km unajua mko wanne na bdo huwez muacha hpa unataka tukuambie nn?
 
Mna moyo nyie balaa,hakuwaroga wala hakuwachawia hashuo lenu tuu lakupenda dezo........
 
Wadau wana JF,

Baada ya kumuacha yule dada na kuweka namba yangu kwenye bango na kuandika 'Mganga kutoka Nigeria' nimempata mdada mwingine ni mzuri sana lakini tupo wanaume wannne na wote tunajuana na hakuna aliyepo tayari kumuacha huyu dada ametuloga au ni kawaida.

Naombeni ushauri ila matusi sitaki


Sigara ni mbaya ila kwa maelezo zaidi endelea kuvuta.
 
kila kitu unauliza utakuja kuuliza humu nimfanye mbuzi kagoma au kimende
 
Na cha ajabu tunawasiliana vizuri tu na wenzangu...na anaezingua anaambiwa achape mwendo..
 
Mtamuacha wenyewe mtakapoanza kuharisha baada ya kuwaachia miwaya.............
 
Back
Top Bottom