Yani unakutana na mwanamke mzuri sana kwenye mazingira ya kimapenzi lakini mtuako wa karibu sana anakwambia kuwa yule demu muathirika je utakataa kulala naye au utatumia condom apo ushapata...
Hapa ofisini kwetu kuna jamaa kapangwa majuzi akanambia alimtumia friend request mwanamke mmoja baada ya kukubaliwa wakaanza kuchati jamaa akaanza kutongoza siku iyoiyo na akakubaliwa akamtokea...
Wapendwa MMU,
Poleni na hongera kwa msimu wa mfungo ambao unaisha leo na wale waliofungua leo pia polen na hongereni. Naombeni mnisaidie kujielewa maana sometimes I think I've been attacked by...
Habari wakuu,
Natumaini mkopoa,katika pilika pilika na harakati za hapa na pale.
Siku nyingi nimekuwa nikitafuta mwanamke wa kuja kumuoa,kuna kipindi hali yangu ya kiuchumi ilikuwa ngumu...
Kuna msichana ninezinguana nako kam 1 week ago.Alichofanya kachukua namba yangu ya simu kaandika bango na kabandika kwenye mti eti "MGANGA WA KIENYEJI TOKA NIGERIA."
Sasa napata simunyingi za...
Habari zenu mabibi na mabwana,
Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu nimekosa jibu. Hivi kati ya mwanamke na mwanaume ni nani anaeweza kustahimili kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi...
Katika pitapita zangu hapa mjini. Nimekutana na msichana nikampenda nikamweleza kilicho ndani ya moyo wangu, Nilimwambia namhitaji katika maisha yangu nikimaanisha nitamuoa.
Akanambia sawa...
Natafuta mwanamke humu kwa ajili ya mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi.
Awe na umri usiozidi miaka 35.
Awe ni mtanzania anayeishi Dar au awe anapenda kuishi Dar.
Awe hajaolewa wala juzaa...
Nina hamu na mimi ya kutegwa mpaka umri huu sijawahi kupata mwanamke alienipenda na kunifanyia vituko vya kimahaba na ninaomba kujua vituko hivyo vya kimahaba ikiwa mwanamke amekupenda huwa...
Nipo hapa Kigali wiki sasa lakini sijui kuku wa kienyeji wanapatikana wapi, mwenye uzoefu na hili jiji anipe uzoefu maana hamu imenishika mpaka nimekumbuka nyumbani.
JAMANI HUUU NI MUENDELEZO WA THE SILENT KILLER AUTO BIOGRAPHY! Baada ya kutoa ofa ya MEMOIR, akajitokeza huyu mdada na kudai her story is BIGGER THAN A MEMOIR so na yeye kama THE SILENT KILLER...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! (Kwanza nimshukuru @ Tk Fashions kwa kusponsor bundle unlimited la mwezi huu, maji yalikuwa yashazidi unga hivoo, msingeniona mwezi...
Maisha magumu??Maisha yamekuwa rahisi??Ustaarabu wa ulaya??Kuwa na mategemeo yakupata mkwanja?
Ni nini hasa maana Wanawake baadhi yao kutongozwa leo na kumegwa imekuwa kawaida sasa sijui nikati ya...
Jamani nisaidieni mke wangu ana uadui mkubwa na mamaangu kisa alipochepuka mama hakupenda nimsamehe mke wangu na niendelee kuishi nae na tuna watoto wawili jamani nifanyeje?
Habari ndugu zangu popote mlipo.
Kama kichwa cha habari kinavyoku elert.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.Nimemaliza chuo cha DIT mwaka 2012.
Mwaka 2013 nikabahatika kupata kazi mkoani...
Habari wana jamii forum,
Ngoja niende direct to the point, kuna kipindi niliwahi kuweka bandiko hapa la kutafuta msichana ambaye Mungu angependa tungeweza kuoana,bahati nzuri wasichana wengi...
Kichwa cha habari chajieleza,
Kutokana na jeuri aliyonayo mke wangu,natafuta mwanamke atakayenifariji kipndi hiki kigumu hukunikitafuta njia za kuachana na huyu mwanamke coz nimechoka sasa! Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.