PART 1
Toniiiiiiii,Toniiiii,Tonii twende,niliisikia sauti ya mpenzi wangu Aisha akiwa nje ikiniita usiku wa manane nami nikaitika najaaaa,nikavaa haraka kisha nikatoka nje na kumkuta na tayari...
Mpenzi wangu ambae siku zote namuamini sana kwa zaidi ya miaka minne sasa lakini cha ajabu anapenda sana kuninunia haswa ikitokea tumepishana kiswahili nimejaribu kumkataza tabia yake hii lakini...
Hello my fellow JF Members,
Mimi ni msichana mwenye miaka 33, msomi, na ni muajiriwa Serikalini. Carreer-wize I am doing ok but I think it's about time I meet my future husband & soulmate wangu...
Hii ipo sana, inapotokea wanaume wapo mahali ambapo hamna kinywaji kingine zaidi ya soda wanaume wengi huwa wanapenda sana kunywa soda lakini hujisikia aibu kuagiza soda hiyo kwakuwa huoneka ni...
Habari,
Natafuta mwanamke wa kunizalia mtoto,umri wangu ni 30, nitamtunza na kutimiza mahitaji yake yote. Alie Tayari ani pm ilikufikia lengo hilo mimi npo Dar.Awe na miaka 24 mpk 32.
Karibu sana
Baada ya rasimu ya katiba pendekezwa kubainisha ajenda ya nafasi za maamuzi kuwa 50/50 kumejitokeza wimbi la wanawake kujitosa kuwania nafasi mbali mbali ukiwemo ubunge, udiwani nk.
Study...
Nina mpenzi wangu wa kike ana miaka 21 tunayependana sana tunaishi mikoa tofauti na hatujaonana zaidi ya mwaka na nusu..najiuliza kwa nini kipindi cha karibuni ananletea mazoea ya kijinga...
Kuna jirani yangu si mbongo anaishi na mwanamke. Wanaonekana wanapendana sana kwani mara nyingi huwa pamoja na hutembea wakipigana mabusu hadharani huku wakiwa wamekumbatiana.
Jana nilisikia...
Ukitizama tendo hilo la busu la mdomo kwa mdomo kwa kina, si la kufurahisha sana, kuna kubadilishana mate, ambayo kwa wastani, yana bakteria zaidi ya milioni 80 na si wote wazuri, lakini kwa...
Za mwisho wa wiki ndugu zangu?
Nikipigiwa stori na job mate wangu jana wakati tunajiandaa kutoka kazini kwamba punyeto haifai kwa mwanamke kwani uleta hisia za kusagana
hii stori ilianzia...
Wana jf m nipo katika uhusiano na huyu mpenz sasa unaenda mwaka, tatizo lake n moja tu hatak kunipa penz.,kila nikimuambie kuhusu inshu hyo ya kuduu.' tunazinguana sana mashart anayonipa mi kama...
Habari zenu wana Jf,
Inaanza hivi- kuna mdada aliniomba urafiki facebook nami nikamkubalia kumbe ananijua personally but mie simjui kabisa alinitext punde tu nilipo accept friend request yake ndo...
Wadau heshima zenu,
Mwenzenu naishi kwenye nyumba za kota za watumishi wa uma some where hapaa Dar es salaam tukiwa ndo tumehamia tu miaka miwili iliopita tulikaribishwa na jirani mmoja matata...
Wana jf,
Hebu tutoe mtazamo.
Kwenye mapenzi asilimia kubwa hua scale haibalance kuna upande unakua umezidi iwe me au ke lakini utakuta yule anaependwa lazima awe na vitimbi na mashauzi ya hapa...
STORY: NITAKUFA NAE
MTUNZI: JK Mdharuba
+255 718 274 130
+250 726 023 140
mdharuba@gmail.com
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★...
Eid mubaraka wakuu,
Leo kidogo tushauriane yamenifika kwa kweli,
Ni hv nina mdg wangu kamaloza form four na kafaulu vizuri tu Dv 1 kapagwa na shule lakini bado hajareport
Yameenda wee nimegundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.