Tuwaombee mabaya wanawake wetu?

Tuwaombee mabaya wanawake wetu?

Young Teacher

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
186
Reaction score
43
Wanajukwaa, ni kawaida na tumeshazoea kusikia vilio vya maboys na mamen vinavyohusu kutendwa na magirls na mawomen ambao wameharsal nao ktk maisha, hasa pale mwanamke anafikia hatua fulani ya mafanikio.

Hii imenitokea pia kuna mwanamke nilikutana nae toka 2011 akiwa mtaani baada ya kumaliza form 4, mi kwa wakati huo nilikuwa mwl wa certificate.

Mwaka 2012 mdada kapata post ya nursing kaenda huyko akajiona kapatia kaanza kunishiit mi 2013 nkapiga paper la 4m 6 nikafanikiwa kupiga vema nkapata na post ya chuo ye alipomaliza chuo mwaka jana kaanza kunibembeleza mi nkaona sio vbibaya kumsikiliza labda amejifunza kitu lkn cha kushangaza alipopata post dharau zimerud maradufu ya mwanzo.

Sasa kama hali ni hii kwanin wanaume tukae kuwaombea mafanikio watu ambao wakifanikiwa wanatutesa?
 
Hata ukiomba mabaya ni kazi bure, dua la kuku tu

Mtenda akitendwa!! Hivi mbona kuna wanawake wanaokutwa na hayohayo! Tena kwa wanawake nahisi inazidi, sasa tukianza kuombeana mabaya hii dunia si itakuwa jehanam ndogo!! Kisichoriziki hakiliki kila mtu ajifunze tu kumove on japo ni ngumu.
 
Ni huyo tu tabia yake mbaya. Na anakufanyia wewe tu.
 
Frankly speaking: simwamini mwanamke hata awe mpenzi wangu vipi..

Sijui wewe akili yako umeiset vipi.
 
Mtenda akitendwa!! Hivi mbona kuna wanawake wanaokutwa na hayohayo! Tena kwa wanawake nahisi inazidi, sasa tukianza kuombeana mabaya hii dunia si itakuwa jehanam ndogo!! Kisichoriziki hakiliki kila mtu ajifunze tu kumove on japo ni ngumu.

Duuu! Kwahiyo hii ndo analipiza kwanguuu, umenikumbusha kitu atoto alinisimulia kuwa boy ake wa awali alimgumania na ka-she ndo wakabwagana.
 
Hata ukiomba mabaya ni kazi bure, dua la kuku tu

Mh! Hv ndo nishakuwa kuku tena naye ni mwewe! Ckujua kuwa nimeshukaa ila najiamini niko juu na siwez kuwa chini yake hadi niwe kifaranga ye mwewe. Nitapasua tu wacha niongeze CV Salt.
 
Frankly speaking: simwamini mwanamke hata awe mpenzi wangu vipi..

Sijui wewe akili yako umeiset vipi.

Tatizo waswahili na misemo yao hii "Kila alipo mwanaume mwenye mafanikio nyuma yako kuna mwanamke..."
Basi daa! Lkn nimejifunza jambo.
 
Back
Top Bottom