Mimi na mpenzi wangu tumefahamiana tangia tukiwa wadogo maana sisi ni family frieds ila namzidi kwa miaka 4 na kwa sasa ana soma Diploma mwaka wa katika chuo cha Utumishi wa Umma.
Uhusiano wetu ulianza kwa yeye mwenyewe kuniambia mara kadhaa kua mama ake anapenda nimuoe na kiukweli mama yake ananichangamkia sana ila hiyo kwangu haikuwa kigezo cha kumpenda.
Baada ya miaka kama 4 hivi tangua anambie hiyo kauli nkajikuta nimempenda ila sasa nakumbana na changamoto zifuatazo:
1. Mpenzi wangu ni mrembo sana na yuko sexy kiasi kwamba mpka najistukia na nahisi kila mtu amemtolea macho so inamfanya anakua over confidence over me.
2. Bado yuko chuo ila mimi nafanya kazi so mazingira ya chuo nahisi sio rafiki kwa mahusiano yetu.
3. Anamatumizi makubwa sana ya pesa yaani mda wowote anapiga simu ya kuomba pesa.
4. Mrembo sana na anajitambua kua ni mrembo so naweza nikampigia simu mida flani asipokee halafu akanitumia sms mme wangu najikuta nashusha hasira na nashindwa hata kumkemea kwa tabia hiyo
5. Kaisha nitambulisha kwa ndugu zake kua mimi ni mme wake mtarajiwa na nikiongea na ndugu zake wananambia kua ananipenda sana japo mimi sina imani kabisa kama napendwa.
6. Anaweza akanipa ahadi halafu aitokee na asipokee simu wala kujibu sms na kudai kua simu yake ili divertiwa na mpenzi wake wa zamani.
Mwisho kabisa naombeni ushauri wenu kuhusu huyu mpenzi wangu kama ananipenda kweli au ananitumia na nifanyeje maana nampenda na umri wake ni miaka 23.