masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,516
- 19,876
Huu wimbo ukiusikiliza hadi unalowaa barakah da prince kajitahidi
Mahaba mazito sana
Mimi bado nina imanii
Ipo siku utanipa thamaniii
Jua mi siachani na weee
na sishindani na weee
Maana upo moyonii acha nisote mieee
Huu wimbo unanifanya all over again kurudia namba niliyoipoteza i mean ku renew
Mahaba mazito sana
Mimi bado nina imanii
Ipo siku utanipa thamaniii
Jua mi siachani na weee
na sishindani na weee
Maana upo moyonii acha nisote mieee
Huu wimbo unanifanya all over again kurudia namba niliyoipoteza i mean ku renew