Mrejesho: Nimepata mke mwema kutoka JF

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
1,022
287
Habari zenu,

Asanteni sana wana member wa Jf nakumbuka niliandika humu nikiwa nataka kupata mke mwema aliyesoma mwisho level ya diploma hatimaye nimempata tayari na anaitwa Rose na anasifa zote za kuwa mke.

Natoa pongezi na nashukuru sana kwa jukwaa hili.

Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Jamiiforums
 
habari zenu
Asanteni sana wana member wa jf nakumbuka niliandika humu nikiwa nataka kupata mke mwema aliyesoma mwisho level ya diploma hatimaye nimempata tayari na anaitwa ROSE na anasifa zote za kuwa mke ,,,,natoa pongezi na nashukuru sana kwa jukwaa hili
Mungu ibariki tanzania Mungu ibariki jf

Aisee......
Mungu ni mwema saana...ila usiwaogope hawa wenye degree...
Alafu mkuu ni mapema saaana kujudge chukua muda kumchunguza, usije ukalia baadae...
 
Haya ndo mambo sasa!!!
 
Aisee......
Mungu ni mwema saana...ila usiwaogope hawa wenye degree...
Alafu mkuu ni mapema saaana kujudge chukua muda kumchunguza, usije ukalia baadae...

acha hizo bana , mbona tupo na masters na CPA(T) zetu tumetulia tu bana , degree have nothing to do with ones personality you gat me
 
Huyu jamaa wakati analeta uzi wake wa mwanzo alisema kwamba hataki wenye degree...
Ndio maana nmemwambia asiwaogope
 
ni kweli nilisema wenye degree siwataki maana niwasumbufu na wengi wao washakuwa used sana hadi kero
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom