Man Mudi
Senior Member
- Oct 13, 2014
- 159
- 114
Mwawaambiaje wanetu?
Nikitumai mu buheri wa afya, mimi mwenzenu sina neno.
Wamama nachukua fursa hii kuamsha ari ya wapenzi wa jukwaa letu katikana kubadilishana yote yaliyo mema maishani. wasemao husema titi la mama ni tamu, hata la umbwa huamwa.
Nami najitosa ulingoni kuwachachamua na kuwahekenua wakwetu wasiachwe nyuma katika meli hii mpya ya mtandao. kuna yepi mapya kule kwenu? huku niko kuna mengi mno ya maajabu na ya kushangaza.
Jimbo la Calif limehalalisha mabasha na wasagaji kuoa na kuolewa. limekuwa jimbo la pili kupitisha hoja hii baada ya jimbo la massachssets nami wakwenu hubaki nimeduwaa nikashindwa, mume kumuoa mume mwenziwe kisha?
Nao wake hujamiianaje wao kwa wao najua fika kwamba wameunda bidhaa za kazi ile lakini mie bado nahaha. imekuwaje tena? Mbona mja asitizame maumbile akawaona hata hayawani huwaendea wa jinsia tofauti? Maungo mengine yaliumbwa ya kunya wala sio ya kustarehesha (ashakum si matusi).
Mimi wakwenu husema na iwe laana kwa yeyote atakayeenda kinyume cha maumbile. La sivyo Mola astahili kuwaomba msamaha wana Sodoma na Gomora kwani matendo kama yale yaliwafanya wachomwe moto.
Wasalaam