Habari za asubuhi JF, Natumai mu wazima na familia zenu hazijambo.
Niende straight to the point kuhusu mada yangu. Kiukweli motherhood sometimes inakuwaga mtihani kwangu. Lol. Na kwa hili...
Naishi mwanza, elimu yangu ni kidato cha 6, nina miaka 24, ninafanya vibarua vya muda kupata riziki, sina mpenzi kwa sasa ila nahtaji mpenzi mwenye sifa zifuatazo: 1. Asiwe mchoyo wa penzi 2...
Mwenzenu hili jambo linanitatiza na kufanya nikate tamaa juu ya haya matamanio yangu.......kwa kweli bila kuficha wala kubebanisha maneno, niwe mkweli tu, nampenda sana mwanamke mwenye...
Habari wanajamvi?
Mimi nna mwenzi wangu ambaye tumepanga kutambulishana kwa wazazi mwishoni mwa mwaka huu. Huyu binti ambaye natarajia awe mke wangu tulijuana zaidi ya miaka 6 ivi ila si kama...
Mimi nina umri wa miaka30 natafuta mke wa kuoa anaetoka morogoro sehemu yoyote. Awe tayari kuishi katika mazingira yoyote. Ni pm au nitafute kupitia email sethrodney21@yahoo.com
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30, natafuta mke wa kuoa, mwenye mapenzi ya kweli, mwenye umri 20-30.
Atayekua tayari ani Pm kwa mawasiliano zaidi
Asanteni
Matatizo wanayopata nimakubwa mno mimi kuna dada tulikua tunasoma nae siku hizi anajiuza na toka aanze kujiuza saizi ana miaka kumi. Siku moja nikamuuliza nafahamu hii kazi yako umeanza muda mrefu...
Huwa nakaa na kujiuliza hivi mahakama ya mapenzi ingekuwepo ingekuaje? Je, kesi zake zinge outweigh zile za the Hague..maana kila leo utasikia huyu kafanywa hivi na mapenzi na yule kafanywa vile...
Hivi ndani ya nyumba ili wapenzi waishi kwa raha ni vyema mume akawa asiependa utani na aliesiliasi yani hana kucheka cheka(gloomy face) au mwenye utani na mwenye kmtania mkewe naomba tlijulishane...
Mavazi ya siku hizi nashindwa kabisa kitofautisha kati mke wa mtu. Wanafuzi na wanao jiuza
Wote naonaga wako sawa tu kwa kupitia hili watu wengi sana wamepata matatizo. Mengi hii imetokana...
Hi all,
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana naye mawazo awe na miaka 30-40 anayejielewa,msomi na ambaye anatambua nini maana ya maisha karibuni wanawake.
Kumekuwa na tabia ya wadada wa siku hizi kuwa Magogo (kushindwa kutumia nyonga zao vzr wawapo vitandani na wawapendao hasa wakati wa yale mambo yetu).
Demu unakuta amelala tu utadhani Samaki alie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.