Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani ma fellow members, Nina mpenzi wangu tulikuwa tunapendana sana yani na anajua kabisa kuwa yeye ndo my future wife Mungu akitujaalia uzima but kaja kubadilika ghafla. Ni kweli nlimkwaza...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Waungwana, Nimepima UKIMWI hivi mara tata kwa miaka mitatu na nikawa sina maambukizikwa maana 2014, 2014mwishoni na mwezi huu wa nne 2015. Hayo ni maneno aliyokuwa anasema mchumba wa rafiki...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani, jamani, jamani......ni cku nyingi naona haya mambo yanafanyika mbele yangu lakini kwa leo imezidi, wife wangu ana kaka yake wanaefuatana kuzaliwa, kwa maana ya kwamba wife ni mkubwa...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana, Najitokeza hapa kutafuta mchumba muislam ambae Mungu akijaalia aje kuwa mke wangu,nipo serious nahitaji kuwa na mchumba kwa wakati husika,mimi ni muajiriwa Serikalini na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Mudy natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli ili ikiwezekana baadae aje kuwa mke wangu. Sifa awe mnene na pia awe na kazi yoyote ile mimi nipo Dar ke. Mawasiliano nipigie no.0652868486
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Habari wanajamii, Me Leo najaribu kuwashauri wa dada wanaopenda kutengenezewa wanaume. Napo sema kutengenezewa namaana hii, unakuta mdada anaumia ohho Mume wa flani jamani anampenda mkewe mpaka...
3 Reactions
85 Replies
7K Views
Habarini wadau, Mwanamke niliyezaa nae na tukaachana miaka miwili iliyopita mwezi uliopita alisema anaenda kusalimia wanawe kwa mama mkwe kijijini na angekaa wiki tu arudi kwao. Ila mpaka sasa...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
NYONYO LAMPOTEZA MWANAUME".... Katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto, akakataa kunyonya. Mama akamwambia mwanae: Nyonya, kama hutaki nampa "anko" anyonye. Anko ni kaka mmoja abiria...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforums, Mimi ni mwanamke nina miaka 27 nina mtoto sasa ana 6 years na hapa nilipo ni mjamzito wa 7 months. Tatizo langu ni mume wangu amebadilika ghafla, kama miezi 3 iliyopita...
3 Reactions
63 Replies
10K Views
me wanawake cwaelewi kabisa..ukiwa unamtongoza wkt akiwa kwenye miaka yake ya mwanzoni mwa 20 full nyodo yani..unaweza ukamtext leo akakujibu jtano ijayo au hata kama uko na uhusiano nae hana time...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi naishi Arusha ni kijana mstaarabu nilieajiriwa Serikalini mwenye kipato cha kawaida. Nahitaji kupata mwanamke atakayekuwa rafiki yangu. Sifa; 1. Awe anajiweza financially kwani kipato changu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalaamu wadau, Nimeona ni share nanyi! Naishi na familia yangu, mke na watoto 2 na mdada wa kazi ambaye tuko nae miezi 7 sasa,aliomba aondoke na tukakubalia aondoke mwisho wa mwezi huu, maisha...
4 Reactions
244 Replies
28K Views
Wadau, Mpenzi wangu amekua mtu wa hasira sana saivu,anaweza nuna siku nzima asikutafute kwa jambo dogo tu,na hivi juzi tumeachana kwa kisa kidogo tu. Nlikua busy kidogo kwa siku2 sikumtafuta...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Mme wangu nampenda sana, namfanyia kila kitu kama mwanamke. Mimi ni mama wa nyumbani. Sina kazi sio kwamba sipendi kufanya ila ni kwasababu sijapata tuu mpaka sasa. Mume kapunguza mapenzi sana...
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Guyz, Mimi ni ME nmetua jana mwanza but lonly hatari hata viwanja sivijui kwenye girl yoyote alie mwanza ani pm siyo kwa mahusiano ya kimapenzi lakini,only friends kwa walio mbali for charting...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa karibu miaka mitatu hivi sijaandika visa vyangu vya kusisimua na hadithi mbalimbali (za mahaba, za kutisha na visa vinavyozua visa vingine na riwaya). Nimeanaza kufikiria kuanza kuandika tena...
2 Reactions
47 Replies
41K Views
Mmevamiwa na majambazi nyumbani kwenu wamepora kila kitu wakavunja chumba chenu wakawakuta wewe na mke wako. Wakakupa bastola wakakuambia umuue mke wako la sivyo watakuua wewe. Ukasema la siwezi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yani unakutana na mwanamke mzuri sana kwenye mazingira ya kimapenzi lakini mtuako wa karibu sana anakwambia kuwa yule demu muathirika je utakataa kulala naye au utatumia condom apo ushapata...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom