Wana jamvi nawasalimu,
Kuna msichana wangu ambae tumedumu nae kwa miaka 2 sasa, elimu yake ni form six, alifeli, tulipanga mipango mingi ya maisha pamoja, ikiwemo kufunga ndoa.
Tukaona kwamba ni...
Habari za leo,
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike, mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake...
Kama wewe ni Binti Wenye sifa zifuatazo nakuomba huwe rafiki yangu.
1.umri: miaka 18~21
2.Elimu: kidato cha 6 nk
3.umbo:Asiwe mlefu wala mfupi na siyo mnene wala mwembamba sana
4.rangi:maji ya...
natafuta marafiki wa kuchat nao na pia kukutana nao.. Mim ni kijana wa kiume jina na miaka utaijua pale tutakapo wasiliana no. Ni 0742609771 vodacom...gmail= lucumayi@gmail.com pia natumia fb ila...
Kuwa Rubani wa Ndege haimaanishi ndio atakuwa Rubani wa Ndoa,...Unaweza kuwa Mwanajeshi tena Brigedia lakini kwenye Ndoa ukawa Kuruta��.....Mwanasheria anaweza kusimama kwenye...
Wakuu habari zenu,
Nina mdogo wangu wa kike, ni wa mwisho kwetu kuzaliwa, amemaliza chuo miaka 2 iliyopita hakua amepata kazi, amekua nyumbani tu muda wote huo. Kwa kweli for the past two years...
Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyewe anataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na...
Nina tamani walau siku moja moyo wangu upate kutulia, nimpate wa kunienzi, airejeshe furaha yangu ilopotea kwa miaka mingi, authamini moyo wangu, japo kidogo na mie nihisi nipo kwa hii dunia...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya huyu bwana. Wanaume mnjitia mabandiduuuu! Wanaaaa! Chezea wanawake chezea...
Habari za leo
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike ,mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake...
Jamani habarini za saizi,
Mimi naitwa Revocatus ni kijana mwenye umri wa miaka 25 bahati mbaya toka kuzaliwa nilikua nikiishi na mama nilie mjua kua ndie mama yangu mzazi kumbe sivyo jamani...
Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume nimeajiriwa na kampuni ya kifedha hapa DSM, Nipo serious nahitaji mke wa kuowa, mwenye sifa zifuatazo awe mweusi, mnene wa Kati na Urefu wa wastani, awe...
Zamani kidogo ktk mtandao mmoja niliwahi kusoma friend request moja ya wadada wawili waitwao Judith na Julieth ambao ni wamarekani, na ni kulwa na doto. Waliokuwa wakiishi mji uitwao Manhattan...
# MWANAMKE
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anaondoka na wewe
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako
●...
MATESO NA MAUMIVU
Maumivu hayakwepeki...
Umepata hasara kwenye biashara...
Nyumba yako imeungua....
Mtu wako wa karibu amefariki...
Ulichotegemea hujakipata...
Hii ni kwa sababu kuna mambo mengi...
Ukiwa na mpenzi anayejali afya yake raha sana. Mwanamke awe msafi wa nje na hata wa ndani. Lakini pia mwanamke akiwa msafi (wa nguo za ndani na usafi wa mwili anahamasisha ktk tendo la mapenzi)...
Hbr ya asubuh wana JF.
Nilikuwa na mpenzi wng,tukaja tukatenga baada ya yeye kuingia chuo tu mwaka wa Kwanzaa, wakati huo mimi ndio nikiwa nimetoka kumaliza chuo wakati akiwa chuo alianza kuwa na...
Unajua inafikia mahali unaamua liwalo na liwe.Kuna kipindi niliomba ushauri kuhusu ndoa na mume mlevi na mchelewa kurudi, na siku zingine anarudi saa 11 alfajiri, simu yake ina messeji za ajabu...
Sio mimi ila ni takwimu zinasema kuwa 49%~ 50% wababa wa Tanzania wanalea watoto ambao sio wao je tatizo ni nini?
Na nini kifanyike, je nani wakulaumiwa kwa hili jambo?