Natafuta mke wa kuoa

mwanairinga

Senior Member
Dec 21, 2015
179
12
Habari wana jf,
Mimi ni kijana wa kiume nimeajiriwa na kampuni ya kifedha hapa DSM, Nipo serious nahitaji mke wa kuowa, mwenye sifa zifuatazo awe mweusi, mnene wa Kati na Urefu wa wastani, awe mkiristo na umri Kati ya miaka 24 hadi 27 na awe tayali kwenda kupima kabla ya jambo lolote!!!
 
Hapo katika kampuni yenu hakuna mabinti ambao hawajaolewa? Au katika mtaa unaoishi??
 
Nenda kwenu kijijini dogo acha kujishebedua hapa JF home of great thinkers. Hapa hatuna muda wa ndoa.
 
Hapo katika kampuni yenu hakuna mabinti ambao hawajaolewa? Au katika mtaa unaoishi??

Kwakazini pale hakuna mdada anayewza N ifaa, na kwa kz yangu huwa nakuwa bz sana huwa sina mda hata wa kuweza kucheki vidada
 
Bar unataka niowe bahamedi mkuu!

Bahamedi ni mbuzi au mbwa? Si ni mwanamke? Umesema kijijini hakuna wote wamehamia bar. Then nenda bar wapo wazuri tuu. Au another option ni ma club ya starehe, utawakuta huku wasichana dogo.
 
Bahamedi ni mbuzi au mbwa? Si ni mwanamke? Umesema kijijini hakuna wote wamehamia bar. Then nenda bar wapo wazuri tuu. Au another option ni ma club ya starehe, utawakuta huku wasichana dogo.[/QUOTE
Ndio maana nimekuja humu najua nitawapata WaPo wengi wadtarabu!!
 
Ogopa wanawake matapeli wa humu JF. Naona sasa wataka kuolewa kijana. Au unakunywa viroba muda huu ndo ghafla baada ya kulewa viroba umeanza kutamani kuoa? JF, yakuna mke, kwanza atakuuliza kazi gani waifanya and how much is your take home.
 
Ucihofu hilo mkuu mimi cijaanza leo kutumia jf, unachoonge ni xahihi ila naweza pata mke mwema tuu ambaye naye anahitaji kuolewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom