Unajua inafikia mahali unaamua liwalo na liwe.Kuna kipindi niliomba ushauri kuhusu ndoa na mume mlevi na mchelewa kurudi, na siku zingine anarudi saa 11 alfajiri, simu yake ina messeji za ajabu ajabu za wadada wahuni wanapanga appointment za kukutana na kugegedana, nimeumia sasa jamani nilikuwa silali usiku hadi huo muda anaorudi yuko hoi kwa pombe, nilikuwa na lia kila siku na kumuomba Mungu ambadilishe tuishi kwa amani, kwa swala la matumizi yani hana shida anatunza familia kwakweli kwa kila kitu.
Sasa baada ya kuona hana mpango wa kubadilika nimeamua kwanza kabisa, kujitahidi kucontrol feelings zangu na kumuacha sigombani nae tena nasikuhizi ile tabia ya kukosa usingizi haipo nalala kwa raha zangu akirudi namfungulia anaingia ila sikuhizi mgegedo sitoi aendelee tu kugonga huko nje mie aniache nilee watoto akitaka kuhamia huko sawa tu maana siwezi kulazimisha mapenzi nimeamua kuconsatrate na kazi yangu, kusali na watoto wangu na nikitaka kuchill out nawatafuta marafiki zangu au co workers tunaenjoy narudi home happy yani sijistresishi tena.
Sex yenyewe ilikuwa ya shida sana sababu ya pombe yani labda mara moja kwa wiki mbili tena hapo ni shida tupu dakika mbili tu kamaliza na yuko hoi naachwa na kiu zangu yani bora nisipofanya nakuwa na amani zaidi kuliko anaponichokoza halafu asinifikishe popote huwa nakuwa na hasira sana , hayo ndio maisha yangu mapya huko mbele sijui itakuwaje Mungu mwenyewe ndo anajua.