Naweza kuwaoa Kulwa na Dotto?

Naweza kuwaoa Kulwa na Dotto?

Desidery

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
233
Reaction score
78
Zamani kidogo ktk mtandao mmoja niliwahi kusoma friend request moja ya wadada wawili waitwao Judith na Julieth ambao ni wamarekani, na ni kulwa na doto. Waliokuwa wakiishi mji uitwao Manhattan, U.S.A

Wao waliweka tangazo kuwa wanahitaji rafiki mwanamume baadae awaoe wote wawili. na pia waliongeza kwamba ktk maisha yao hawajawahi kuwa mbali, na wanaishi pamoja ktk nyumba yao waliyoinunua kwa kazi ya kuuza bar.

wakaendeea kuandika kuwa mwanaume atakaewaoa watampenda, watampa mahaba ya dhati, na wataishi nae ktk nyumba yao.

pia wakasema kwakuwa hakuna cha kuwatenganisha, watakuwa wanalala chumba kimoja, kitanda kimoja... na wangependa kama ni ujauzito wapate pamoja, yaani wakiwa na mimba wote wanakuwa hivyo.

so najaribu kufikiria je kuna ugumu ktk misingi ya kiubinadamu, uhuru wa faragha, na lolote lihusulo mahusiano?

najaribu kuangalia ikiwa itatokea Tz...

Ajsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom