Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

ISOME MPAKA MWISHO HAKIKA MAPENZI SI MCHEZO Mm na girlfriend wang tulikuwa tunapendana sana.Tulikuwa tumeishakuwa pamoja kwa muda wa miaka 5 hivi, na hivyo tukaamua tuoane. Ila kulkuwa na jambo...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Nimekua kwenye ndoa ni mwaka watatu sasa, mara nyingi mke wangu akifanya kitu kwa bahati mbaya haniambii mpaka nimuulize. Mfano, leo kaniambia simu inazima ovyo ovyo nikamuuliza tatizo nini...
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Mwanangu jifunze hapa.. "Nikufundishe nini mwanangu kuhusu wanawake? Baba yako nimezeeka ghafla nikiwa na ufahamu mdogo na mwanangu umeshakua kiasi cha kuhitaji elimu hii adhimu, nikupe neno...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nina demu wangu amenizoea nami nimemzoea kiasi kwamba uwa na mmiss saa zote. Lakin kanizoea kwa ukali wangu kwake kitu ambacho uwa anakimiss mara kwa mara. Uwa anasoma na kufanya kazi. Ana kwake...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari wanajamii forum Hii kitu nimeikuta sehemu fulani nikaona sio mbaya nikashea na wadau Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao: 1. Wasichana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani nahitaji partner wa kwenda nae kesho tarehe 22/12/15 kwenye send off nina kadi ya double na mie npo alone. Hvo aliye tayari anipm. Faster. Mitaa ya tank bovu ndo itafanyika. Regard.
0 Reactions
2 Replies
925 Views
Utakua nae kwenye safari ikitokea gari ya kusukuma utajiju hao ndvyo walivyo hata akiwa na nguvu nying
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Katika Maisha ya getto kwa mwanaume yeyote kuna mambo ambayo huwa ni kero, na wengi hatuwezi kuyafanya, ambayo ni kama:- 1. Kufanya usafi wa ndani kama kufagia 2. Kupika 3. Kufua 4. Kutandika...
1 Reactions
114 Replies
14K Views
Habari wapendwa katika bwana, Binafsi mpaka naandika habari hii siamini kinachoendelea,ni hivi nina mwaka toka nihame kutoka mkoa fulani kuja hapa kahama,mimi ni muumini wa dhehebu la roma,lakini...
2 Reactions
115 Replies
16K Views
** MKASA MZITO ** Ilikuwa ni jioni moja baada ya kumaliza kazi zangu niliamua kwenda katika Hotel moja maarufu hapa Jijini Mtwara ili kupumzika nikipata vinywaji pmj na kuongea na jamaa zangu huku...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
MKASA WA KUSISIMUA NA KUHUZUNISHA: ** MKASA MZITO ** Ilikuwa ni jioni moja baada ya kumaliza kazi zangu niliamua kwenda katika Hotel moja maarufu hapa Jijini Mtwara ili kupumzika nikipata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Natumai u mzima sana wa afya Dada yangu mpendwa, mie ni bukheri wa afya namshukuru MUNGU kwa kutujalia uzima mpaka sasa tupo mwishoni mwa mwaka.Dada yangu mpendwa,naandika waraka huu nikiwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaam wanajamii forum wote. Leo ni mara yangu ya kwanza kuleta mada hapa na ninakiri kuwa nilikuwa msomaji tu wa kawaida. Nina tatizo kubwa linalonisumbua kwa sasa. Mimi ni mwanamke...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Salaam.... bila ya kuzungusha maneno niko serious natafuta rafiki wa kike wa umri uliotajwa hapo juu lengo ni kuwa naye karibu na kuelekezana maisha na mambo mengine yatakayojiri kupata yatokanayo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SIJUI NI NDOTO AU UKWELI MI SIJUI.... Ndoto hii ilianza kunitokea Mwanzoni mwa mwezi Huu wa Tatu" mpaka sasa imefikia mahali ambapo mimi inanipa wakati mgumu kuamini kile kinachoendelea. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari zenu wadau! ni madhara gani mwanaume anaweza kuyapata kwa kugegeda kila siku hamna siku inayorukwa..
0 Reactions
34 Replies
12K Views
JE WEWE UPO KWENYE KUNDI GANI KATI YA HAYA? Kuishi ni hatari, ndio kila siku tunakutana na hatari mbalimbali, lakini hatuachi kuishi.Katika maisha tunakutana na hatari mbali mbali, kuna ambazo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU, Nimekutana na suala hili hii ni mara ya pili, utakuta mtu anaenda hospitali akiwa na makonfidensi kibao, mwisho wa yote huishia ukingoni. Nikiwa na maana mtu umeenda...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Za majukumu wanabodi? Leo, jioni hii nilikuwa narudi home, kuna bidada mmoja alikuwa kavaa kisketi hicho kuanzia magotini hadi karibu theluthi ya mapaja yote ilikuwa ni kivutio cha abiria...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Hawayuni? Kipindi hiki cha likizo ndefu Kenya na haswa watu wanaposherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya watu wengi hupenda kutembea baharini kama Mombasa. Wengi hupenda kuogelea na...
0 Reactions
60 Replies
14K Views
Back
Top Bottom