Hivi unaweza kuoa Dada na Mdogo wake anayemfuata?

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Habari za leo
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike ,mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake ,,siku moja alinitarifu atakuja kunisalimia mie nikajuwa watakuja na dada yake ila cha kushangaza akaja pekee yake na katika story za hapa na pale tukajikuta tushavunja amri ya sita sasa juzi amenitext kuwa hazioni siku zake nikamwambia nenda hospital kapime jana kaenda kapima ana mimba
Pia dada mtu anamimba ya mitatu saiz na nilikuwa namalizia mchakato wa kumchukuwa aje kwangu..
Baada ya mambo yote hayo nimeamuwa kusitisha maana sijajuwa wazazi wao watanifanyeje?
Na je kuna tatizo lolote linaweza kunitokea endapo nikawaowa mtu na mdogo wake? Pia jamii itanichukuliaje? NAOMBENI USHAURI KUWA NIOWE WOTE MAAN NAWAPENDA KAMA HAKUNA MATATIZO YA KUOA FAMILIA MOJA MTU NA MDOGO
 
Wapeleke kwa mkemia mkuu kuangalia vinasaba,

Usije kufuga kunguru,
 
Ahahahahahaha baada ya stori za hapa na pale tukajikuta...

Evelyn Salt huyu hakupitiwa na shetani?
 
Last edited by a moderator:
Mmmhh uoe wawili kwa wakati 1 tena mtu na mdogoye? Kibaya zaidi wote wana mimba, makabila gani hayo we na wao? We mwenyewe lipi unaona bora?
 
inawezekana kabisa, mimi shangazi zangu waliolewa na dume moja, japo mdogo alienda kwa sangoma ili apendwe yeye zaidi akaishia kumtoa roho mume wao.

oa wote na mlale kitanda kimoja wote, na usiishie hapo, watakapokuwa wanalea wewe chapa mipango ya kando mwendo mdundo kidume cha mbegu
 
Habari za leo
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike ,mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake ,,siku moja alinitarifu atakuja kunisalimia mie nikajuwa watakuja na dada yake ila cha kushangaza akaja pekee yake na katika story za hapa na pale tukajikuta tushavunja amri ya sita sasa juzi amenitext kuwa hazioni siku zake nikamwambia nenda hospital kapime jana kaenda kapima ana mimba
Pia dada mtu anamimba ya mitatu saiz na nilikuwa namalizia mchakato wa kumchukuwa aje kwangu..
Baada ya mambo yote hayo nimeamuwa kusitisha maana sijajuwa wazazi wao watanifanyeje?
Na je kuna tatizo lolote linaweza kunitokea endapo nikawaowa mtu na mdogo wake? Pia jamii itanichukuliaje? NAOMBENI USHAURI KUWA NIOWE WOTE MAAN NAWAPENDA KAMA HAKUNA MATATIZO YA KUOA FAMILIA MOJA MTU NA MDOGO

Una kiachaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Mwehu kabisa !
 
Eti mdogo ni mzuri kuliko? story za hapa na pale mkajikuta? Jamii itakuchukuliaje? Unawapenda wote? We umeamuaje? Nani malaya hapo? Jibu hayo maswali kisha nikupe ushauri.
 
Asilimia 90 ya wanawake ambao hupata mimba za kushtukiza hutafuta mtu wa kumsingizia inawezekana kabla hujakutana nae kimwili tayari alikuwa na mimba ambayo hajui ni Nani alimpa hiyo mimba
 
Back
Top Bottom