Swahiba: Mtoto mzuri

mang'ana patrick

New Member
Dec 8, 2015
3
2
Kama wewe ni Binti Wenye sifa zifuatazo nakuomba huwe rafiki yangu.
1.umri: miaka 18~21
2.Elimu: kidato cha 6 nk
3.umbo:Asiwe mlefu wala mfupi na siyo mnene wala mwembamba sana
4.rangi:maji ya kunde na siyo mweusi sana wala mweupee sana(natural)
5.Dini:Mkirsto hasa mkatoriki~ukiwatofauti uwetayari kubadilika
6.tabia:
a.mcha mungu
b.silazima uwebikira lakini usiwe na mtoto.
c.mtulivu na mwenye adabu(u c.mtulivu na mwenye adabu(usiwe mapepe na mwenye dharau).
d.usiwe mwinzi
e.unaejua kuomba samahani.
f.Asiyependa sana starehe.
g.mwenye uvumilivu
h.Anaye jua kutoa na kupokea ushauri.
7.kimaisha: ni vyovyote maskini /tajiri sawa tu.
8.kabila lolote.
9.mahali:popote lakini yawepo mawasiliano.
10.mwenye malengo na maisha yake ya baadae.
~>mke mbora ni mwenye upendo wa dhati kwa mmewe
~>anitafute fb Patrick w Mang'ana na kujitambulisha ndani ya messanger(in box).kazi kwenu madadaaa.
 
Masikini JF yangu inakufa kifo cha mende sasa uwiiiiiii!!!!
Hi mikopo ya 98% imetuharibia Jf yetu.
 
Back
Top Bottom