lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya huyu bwana. Wanaume mnjitia mabandiduuuu! Wanaaaa! Chezea wanawake chezea na wewe. Chagua kama karanga. Sasa ule usemi wa kuchamba kwingi kutoka na mavi ndo umemkuta huyu mtu mzima mwenzenuuuuu. Kiranga kwishaaa kabisaaa, kasalimu amri.
Huyu kijana mwenzenu ni mtu na fedha zake, Le BOSS, Mtu wa finance, anachezea hela vibaya mnooo. Sasa ile over supply ya chiu ikamfanya ajione invisible, unbeattable yeye mwenewe kwenye sekta hii ya mapenzi. If he can get 10 litres every day of freeeeeesh milk why should he buy a cow? WHY? Hata ungekuwa wewe. Kajiachia tuuuu. Bwana weeeeeeeeee!! Usiskiee.
Tulikuwa tukienda nae bar anapanga dollar, pounds, eauro, Oman real, Yen, kwenye wallet, anamwambia mhudumu nipe exchange rate nilipeee. Yalaaaaa! Tumekoma bakora zimetuingiaaa baba la baba. Tafuna sanaa visichana vya IFM, tafuna sanaa visichana vya UD, CBE, Magogoni you name it, Bank teller mjini kawanawa sanaa, maana wengine aliku hawamvutii kuingiza. Tobaaaa. Chinekeeeeeeeeeee!
Sasa umri ukawa umekwendaa. Ana chalii mmoja tu primary, mirija kazini ikablokiwa, hata kununua pen, utaratibu mrefuuu. Akaona isiwe tabuuu. Kapita tukio lake ka Milioni 100, ka resign 24hrs, hataki kero. Baba kazi yenu hii hapa. Sasa habari kusambaa baba la baba yupo juu ya mawe, hamna hata anaeenda kunywa nae. Warembo woteee kupotea. Mjini hapendwi mtu inapendwa pesaaaa tu.
Ndo demu mmoja kubakia, demu ana bar kubwa tu, na Harrier yake, yuko vizuri hatariii. Ndo kusema huyu aoe kabisaa kabla mambo hayajawa si mambo. Akaamua kuoa design ya kujipasishia. Kamuita gheto kwake, wakaishi moja mbili, mwezi ukakatika. Dada hana neno, anapika fresh, ana heshima, ana mliwaza. Hana tabu kabisaaa. Akaamua hapa nimefikaaa.
Anatutambulisha wife huyuuu. Mmmmmh! Sasa mi yule dada namjua A town alikuwa shangingi la mjini, ni Mafia hatari, anakuchukulia mume, ole wako umuulize, kukupasua chupa ya utosi haoni ishu. Nikasema anyway maybe kabadilika. I have done some things, everybody has done some thing they aint proud of but that doesnt necessarily mean we are bad people. Wakawa wanaishi fresh. Akamuamini na kuanza kumshirikisha mambo yake.
Wakaanza ujenzi na zile 90m. Wakanunua uwanja kwa jina lake baba la baba kama 40m, 20m wakamimina msingi na kuanza kupandisha. Sasa mambo ya ujenzi ndo kuona 30m zikae ndani bank mbali hodi hodi za mafundi. Loooooh! Zimekaa miezi 4, zikabakia 20m. Baba la baba akamwambia wife anaenda kununua vifaa zotee. Ibakie hela ya mafundi tu. Kesho yake, anarudi hajamkuta bibie. Ngoja mpaka saa 5 usiku, holaa. Akalala asubuhi akaanza kutia shaka, kucheki hela kweupeeeeee. Anasma alihi kabanwa haja kubwa na akienda chooni hamna haja.
Akakaa kama wiki anajamba jamba tu getto, kkonda na kukonda. Kapigwa mswaki hivooo. Ila badae akili ikamjia, yeye Mdigo bwanaa, hawezi kuibiwa kimaandazi hivi hivi. Akanicheki oya Lara mwanangu ulikula pesa yangu mingi fanya kunitupia sadaka hata ya 50,000. Nikikumbuka Janury mwaka huu nilikuwa juu ya mawe nawaomba vocha humu, alinitoa kichiziiiii, nikamtumia 100,000 nikasema mkubwa akikuomba ujue kabanwa korodani. Ila kumtangaza nilimtangazaa, jamaniii, baba la baba kajitia kuacha kazi ananipiga kizinga cha 50, ooh kazi sitaki kumbe jeuri hana mjini. Mnisamehe buree Katiba ya ukimwomba hela demu hata akikupa lazima, kama mwiko akusambaze, asipokusambaza ataugua homa ya ubuyu lazima ifatwe, na mimi niliifata. Tukammiminaa tani yetu. Ile hela kaenda kwao Tanga, kijijiniiiii.
Mtaalamu akamwambia huyu mwizi wako atakuja mwenyeweee kukufata mpaka kwako, na ndani ataingia, labda kama yeye si Mgosi wa kaya, Msambaa original. Garama 10,000 na kuku 2 wa kienyeji. Akaona haitoshi kapitia na kwa mtaalamu wa makombe, vikaandikwa viarabu vya ki ayemi. Vikatiwa kwenye maji, maji yale akaambiwa awe nakunywa. Bado hakuridhikaa. Akawa anahaha kutaka kufanya dawa 50 kwa mpigo.
Siku kakaa ndani kwakwe kasikia hodiii, sauti ya lile jiziii. Akahisi ana halucinate. Mara kafungua mlango kaingia kakaa kwnye sofa uso mkavuuu! Kama yule mtaalamu alivosemaa. Alimkwida juu juu mpaka polisi, kufika kule, bibie akasema yeye hajaiba, alichukua zile hela akanunue vifaa vya jumla akatapeliwaso akaogopa kurudi. Huku na huku polisi wakamwambia mpenzi haibi, anachukua maana baba la baba mwenyewe kamuonesha alipoweka hela. Akajua ashaibiwa yameishaa, loooh kumbe ndo kumekucha.
Bibie kafungua kesi mhakamani wagawane nyumbaa, wamejenga woteee! Tobaaaaa! Wameishi wote miezi 7 so ni mke na mume kisheria, na nyumba walijenga wakiwa pamoja, so iuzwe bibie apewe chake. Mayoooooooooooooooo! Laana tullah huyu mwanamke. Looooo! Baba la baba alichoamua kwenda kwao Tanga ampige kitu cha jini Makwata wa Makwata, aanguke tu ghafla kaaap, akadai hio nyumba jehanamu.
HABARI NDO HIYOOOO! Mkubwa mwenzeni yamemkutaaaaa. Kawakumbuka wanawake wote alio wachezeaga kwa majina yao yote ma 3. We chezea wanawake tani yako, ila kaa ukiju MUNGU HAWAI WALA HACHELEWI, na dawa yako ipo jikoni.