Wanajamvi,
Najishangaa sana, hapa nilipo kila ninayempenda mwisho ananiacha bila kosa. Huyu wa sasa ndio kabisa yani nmempangia na nyumba anapokaa lakini ni wiki sasa tangu aniache na kusema...
Habari zenu wana jf
Nimekuwa na mahusiano na madada kama wanne humu na tunachati vizuri sana na kuongea sana hata ikiwepo mipango ya mbeleni ila kinachonishangaza kila tukikubaliana siku ya...
Nawaheshimu sana,nawapenda sana,acha niendelee then ntamalizia icho kituko mwisho,make watu mmekua na hasira sana utazan bando mnaniwekea nyinyi,ntakua napost kidogo kidogo kwan napoangalia divc...
KWA WANAUME ;
Ukiona Mpenzi Wako
Anakusumbua sumbua
Kila Siku Kukuomba Pesa
Ya Kununua Rangi Ya Kucha,
KAMNUNULIE KOPO LA
WINO WA # NEC (wino wa uchaguzi)
NOTE;
SIKU NJEMA KWAKO...
Watoto wanapatikana kupitia mahusiano ya jinsia mbili tofauti.
Bila kujali namna na uhalali wa mahusiano ya jinsia hizi mbili uwezekano wa kupata watoto huwa ni tarajio la uhakika.
Lakini wapo...
Mwanamke kabla hajaolewa huutunza usichana wake kwani ndio taji peke la heshima pale aolewapo. Ikitokea aliuharibu uschana wake basi hujutia na kutorudia kitendo kile kama mazoea kwake na huwa...
Amani iwe kuwenu, Nimejiuliza maswali mengi sana juu ya upekee wangu katika familia yetu. Tangu kuzaliwa kwangu na kukua kwangu nimeona mengi sana kwenye familia, Mimi ni mtoto wa kwanza kwa mama...
((( SITOSAHAU ))))
SIKU MCHEPUKO" ULIPONIACHIA MTOTO KWENYE DALADALA.
soma story hii.
Mke wangu MARY aliamka mapema na kuniomba niende nikamsaidie badhi ya majukumu sokoni, kwani yeye siku...
Nimesikia taarifa ya mkemia mkuu wa serikali akisema %49 ya watoto walioko kwenye ndoa si watoto halili wa ndoa, akafika mbali zaidi na kutaja mikio inayoongoza kuhujum ndoa zao akianza na arusha...
Kuna rafiki yangu wa siku nyingi anaishi sehemu flani nchini siwezi taja kijiji anachokaa kwa Kuwa anaweza kuwa ni member humu,juzi alifunga ndoa na mwanamke ambae wamekaa nae kinyumba kwa miaka...
Wanajamvi,
Mtoto ni baraka na neema kutoka kwa Mungu, ndo maana hakuna ndoa yenye furaha bila mtoto.Mwanamke asipozaa ktk ndoa huwa anasimangwa sana hadi kufikia kuambiwa kuwa anajaza choo tu na...
Wakuu nawasalimu.
Nimetatizwa sana na jambo moja. Last Sunday tulienda Mlimani City na wife kwa matembezi ya jioni na kununua mahitaji machache ya ndani. Wakati tumefika mataa ya Mwenge...
Hali zenu?
Nimefanikiwa kukutana na karibia robo tatu wanawake niliowahi kusoma nao chuo kikuu.
Japo wana maisha mazuri, lakushangaza 75% yao hawajaolewa.Lakini la kushangaza zaidi ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.