Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
.
Ama kweli mpendwa ni mpendaji tu.
Madhara ni matokeo tu ya kupenda.
mkuu vipi jipu limetumbuliwa nini hyo ni party 1, vijana wamejisahau sana wanapaswa kukumbushwa
Haswaaa
Mhhhhhhh!Mama umesema mengi sana!
Haya bwana.
Mimi nimesoma zote 19,angalia bwana isijekuwa nawe una mapungufu yako yanayomkosesha raha wifi.Kwi kwi kwi kwi!!! Mimi mwenyewe nimeishia sehemu ya nne tu.