Hbr ya asubuh wana JF.
Nilikuwa na mpenzi wng,tukaja tukatenga baada ya yeye kuingia chuo tu mwaka wa Kwanzaa, wakati huo mimi ndio nikiwa nimetoka kumaliza chuo wakati akiwa chuo alianza kuwa na tabia zisizoeleweka na kadri nilivyojitaidii kuzungumza nae alikuwa mkalii na ilifika wakat akisema usihofu kuachana na kisa ndugu.
Jamaa na marafiki kisa wanafahamu mimi na wewe ni wapenzi,kilichokuwa kikiniumaa zaidi ni kuwa kwao nilishajitambulisha na kwetu nilishamtambulisha pia.
Sasa baada ya baada ya kuona mambo yanazidi kuwa magumu ili bidi tuachane tu kila mtu afanyee take,sasa yeye akawa wakwanza kupata mpenzi akawa ana waambia marafik zang na zake kuwa mwaka huu mimi ntayookaa tuu, nikapiga moyo konde sikutaka kukurupuka nikajipanga upya zaidi huku nikijipa muda wa kutosha na nikibezii zaidii katika kazi zanguu tu.
Sasa baada ya yeye kusikia na kuniona nimepata mpenzii nikikutana nae nikimsalimia hatakii kuitikiaa nikajua labda ni yeye tuu kumbee halii hii mpaka mama yake mzazi,dada zakee wotee wananichukia zaidi Bini waziii kuonesha kuwa wananichukiaa sasa mimi nimeshindwaa kuelewa kosa la langu hapo ni lipii maana mpaka wadogo zake nikikutana nao pia wamenuna kama wamelamba ndimuuu vilee.
Nawasilishaaaa