What's crackin' good people?
So I'm just sitting here on my swivel glider recliner feeling kinda melancholic.
I don't really know why that is. It's been that kinda week, anyway.
Basically I've...
Habari za siku wana jamvi? Nichukue nafasi hii kuwatakia amani,upendo na umoja katika familia zetu katika kipindi hiki cha kuelekea mwisho wa mwaka.
Tuombeane tuishi kwa amani na kudumu katika...
1. Kama unataka kuibadilisha dunia, fanya hivyo kabla hujaoa. Baada ya kuoa, hutaweza hata kubadilisha chaneli ya televisheni.
2. Kumsikiliza mwanamke ni kama kusoma vigezo na masharti kwenye...
Habari zenu wana MMU rudi kwenye mada hapo juu.
Sikuona shida kumtumia sms ya kwamba simtaki tena maana hana mapenzi ya kweli kwangu.
POINT: Niiko na Msichana wangu yapata miaka miwili sasa...
Mke wangu mtarajiwa,najua uko sehemu salama ukivuta muda na jamaa mwingine kabla hatujaoana. Lakini kabla sijakuweka ndani Ninayo machache ya kukueleza..
1. My future wife, Jiandae kuwa mother...
Mimi ni mwanaume,
Nimefikiria sana mambo mengi, nimepitia uzoefu mgumu sana maishani, kijamii na kimahusiano.
Kimaisha (uchumi) sijafeli sana, niko vizuri. Ila kwa changamoto nilizopitia, nimekuwa...
Habari ndugu, nipo serious kwa hili. Nahitaji mwanamke aliyekwisha zaa ili nimuoe. Watoto wasizidi wawili maana nami nina watoto wawili tayari. Please kwa aliye serious ani pm
Kama Kawaida Nimeukamata Mtandao Mwingne Uliosukwa Vzr Sana shetani.
ikiwa wadada wengi sasa hivi wapo kasi sana ktk kutafuta pesa kwa ajili ya *watoke vipi?* kupitia kuwa na mahawala zaidi ya...
Siku zote unatongoza demu humpati, leo sikukuu imekaribia anakurudia na anakupiga mzinga. Alafu kwa ujinga unajifariji anakupenda, na unampa hela. Ikifika sikukuu unampigia muonane, anakupiga...
Inaumiza kuyaona na kuyasikia mambo yafuatayo yakifanywa na wanaume wa kizazi cha sasa hivi, ni aibu na hayafai kabisa katika jamii zetu.
1 .Kushindwa kutunza siri,Kila mwanadamu ana matatizo na...
Ni tofauti na hawa vimodal kazi yao kubipu, utasikia baby nirushie vocha, msimu huu wa sikukuu single mother hatakama utamnunulia nguo ya sikukuu ni upende hawalazimishi kama hawa.com.
Single...
Mimi na mke wangu tumekuwa na mtazamo tofauti sana kuhusu usafi wa chumbani kwetu. Naona usafi wa chumba unaofanywa na mke wangu hauridhishi na hivyo nilimshauri mmoja wa wasichana wetu wa kazi...
Wakina dada mmetokea kuwa na hobbie ya kupenda ndoa, halafu mkiolewa mnaanza kutamani wanaume wasiooa, nipo kwenye uhusiano wa kimapenzi na msichana hatujawahi hata kuonana zaidi ya mawasiliano...
Habari za majukumu wana Jf!
Mimi naomba kujua kama kuna tatizo la kuishi karibu na wakwe wa mke sababu mimi bado sijaoa hukunilipo sio mwenjeji. Katika harakati za maisha nimejipiga piga...
Wadau salaam
Wiki kadhaa nyuma kwa huzuni kubwa nilitoa maelezo kuhusu wife ambae on that fateful day tulienda pamoja mlimani city ambapo alikutana na ex wake na kuonesha furaha sana, naomba...
"My boss drove a luxury car everyday and it was my duty to greet him and to open the gates for him, as I worked as a watchman in his villa. But he never responded back to my greetings.
One day he...
Hi wana Jf
Kama mjuavyo mwaka ndo unayoyoma kuisha hivoo.....msimu wa sikukuu mwaka ndo ushakata hivoo,
Leo tushare mwaka huu ulikuaje kwako,
Yapi mazuri,Yapi mabaya,ulipanga nini?umefanikiwa...
Salaam zenu,
Nikiwa mwana MMU mgeni lakini kwa kipindi nilichokuwa nikishiriki kwa kusoma na kuchangia thread mbalimbali kuna vitu vinanikera navyo na
1.Kuwa na thread nyingi zinazo wa shusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.