Nalea mtoto wa mwenzangu nae analea mtoto wangu

shelumwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
516
189
Sio mimi ila ni takwimu zinasema kuwa 49%~ 50% wababa wa Tanzania wanalea watoto ambao sio wao je tatizo ni nini?

Na nini kifanyike, je nani wakulaumiwa kwa hili jambo?
 
Takwimu hizo haziwakilishi Tsnzania kwasababu Takwimu hizi ni za wale waliokwenda kupima tu. Na ukumbuke kuwa mpaka unaamua kwenda kupima maanayake huna imani na mpenzi wako! Naweza kusema zaidi ya asilimia tisini ya wanaokwenda kupima ni wale wenye mashaka, hivyo probability ya kukuta watoto hao sio wao ni kubwa hivyohivyo. Nahitimisha kwa kusema kuwa ili takwimu hizo ziiwakilishe tanzania ni lazima ifanyike random sampling, na sample inatakiwa iwe kubwa ya kutosha na ichukue at least mikoa yote nchini. Nawasilisha
 
Hili ndilo jibu haswaa naona wengi hawaelewi. Kwanza kumbe napo sio wengi. Naona wengi huwalalamikia wake zao bure maana zaidi ya nusu hukuta watoto ni wao.
 
hivi idadi ya wanaoenda kwa mkemi mkuu kucheck DNA compatibility na watoto wao inafikia 100?
 
Hii report si ya kweli.
Wabongo watakuwa tu wanashindwa kuelewa report ya mkemia mkuu. Hii inamaana kati ya wale walioenda kupima DNA asilimia hizo ndio walikutwa watoto sio wao. Ina maana mpaka mtu anaenda kupima DNA lazima kutakuwa tu na dispute...
 
Takwimu hizo haziwakilishi Tsnzania kwasababu Takwimu hizi ni za wale waliokwenda kupima tu. Na ukumbuke kuwa mpaka unaamua kwenda kupima maanayake huna imani na mpenzi wako! Naweza kusema zaidi ya asilimia tisini ya wanaokwenda kupima ni wale wenye mashaka, hivyo probability ya kukuta watoto hao sio wao ni kubwa hivyohivyo. Nahitimisha kwa kusema kuwa ili takwimu hizo ziiwakilishe tanzania ni lazima ifanyike random sampling, na sample inatakiwa iwe kubwa ya kutosha na ichukue at least mikoa yote nchini. Nawasilisha
Hiyo ni simple justification ya kutokukubali ukweli. Amini tu kama hujaumiza basi ushaumiza
 
Sio mimi ila ni takwimu zinasema kuwa 49%~ 50% wababa wa Tanzania wanalea watoto ambao sio wao je tatizo ni nini? Na nini kifanyike, je nani wakulaumiwa kwa hili jambo?
Wote tu, wewe, mimi, mkeo, mumeo na shetani.
 
Sio mimi ila ni takwimu zinasema kuwa 49%~ 50% wababa wa Tanzania wanalea watoto ambao sio wao je tatizo ni nini?

Na nini kifanyike, je nani wakulaumiwa kwa hili jambo?

Tupe source ya hiyo ripoti inayoonesha hizo %
 
Wabongo watakuwa tu wanashindwa kuelewa report ya mkemia mkuu. Hii inamaana kati ya wale walioenda kupima DNA asilimia hizo ndio walikutwa watoto sio wao. Ina maana mpaka mtu anaenda kupima DNA lazima kutakuwa tu na dispute...

Ata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo tu basi.
 
Za kulaumiwa ni nyumba za kulala wageni na mahoteli. Kwa nini wanaruhusu watu kulala bila kuonesha vibali vya ndoa.
 
hivi idadi ya wanaoenda kwa mkemi mkuu kucheck DNA compatibility na watoto wao inafikia 100?

Na mpaka uende kupima unakuwa na wasiwasi tayari.

Hivyo ripoti ingesema 49% ya wanaoenda kupima wanakuta watoto siyo wa kwao.
 
Back
Top Bottom