Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Habari za leo,
Nina mpenzi wangu ambaye ambaye ana mdogo wake wa kike, mdogo wake alikuwa ananipigia mara kwa mara na kunisalimia kama kawaida baada na mdogo mtu ni mzuri sana kuliko dada yake, siku moja alinitarifu atakuja kunisalimia mie nikajuwa watakuja na dada yake ila cha kushangaza akaja pekee yake na katika story za hapa na pale tukajikuta tushavunja amri ya sita sasa juzi amenitext kuwa hazioni siku zake nikamwambia nenda hospital kapime jana kaenda kapima ana mimba.
Pia dada mtu anamimba ya mitatu saiz na nilikuwa namalizia mchakato wa kumchukuwa aje kwangu.Baada ya mambo yote hayo nimeamuwa kusitisha maana sijajuwa wazazi wao watanifanyeje? Na je kuna tatizo lolote linaweza kunitokea endapo nikawaowa mtu na mdogo wake? Pia jamii itanichukuliaje?
NAOMBENI USHAURI KUWA NIOWE WOTE MAAN NAWAPENDA KAMA HAKUNA MATATIZO YA KUOA FAMILIA MOJA MTU NA MDOGO