Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

jaribu mwenyewe uone. Mpe hela mwanamke lazima akwambie asante baby i love u. i love u kwa mwanamke ipo karibu sana akiona hela. Bisha.
4 Reactions
255 Replies
22K Views
Habari za wakati huu wana MMU, nimekutana na hili sehemu mbili tofauti. Unakutana na mtu eneo fulani, tangia kupoteana yafika kama miaka 4 hamjaonana, tangia mko kijijini mlipotoka. Unafurahi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za jumapili wanajamvi la MMU? Huyu ni kaka yangu tumbo moja na aliyenilea na kunisomesha toka kidato cha kwanza mpaka cha nne ana mke na watoto watatu mmoja yuko form1 na wengine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jamvi? Katika mahusiano kujuana vyema ni jambo la kawaida na raha sana, lakini je, unaweza mpenda mwenzi wako, kumzoea, kumjali n.k lakini ushindwe KUJAMBA MBELE YAKE? watakaochukulia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Leo napenda kushare na nyinyi juu ya hili swala la lawama kwa pande zote mbili. Siku hizi imezuka misemo utasikia eti "wanaume/wanawake walikuwa zamani bwana siku hizi hakuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wandugu na poleni na majukumu ya kila siku, 2014 mwishoni nlitumiwa sms ya salamu ya kawaida tu na namba...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habar zenu wakuu. Nimekuwa nikishangazwa na wana MMU wengi kuwa na tabia ya kutopuuzia thread yoyote inayowekwa kwa kuchangia tofauti na majukwaa mengine mnataka kuniambia ndo kukua kifkra?
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Kwa kweli imebidi tu nije kulianzishia mada manake najiuliza sipati jibu kabisaaa!! But I don't intend to offend anybody!! Kuna wadada wananichangazaga sana japo nakiri wazi ni very small...
4 Reactions
375 Replies
26K Views
Habari wadau.. Naona kelele za kuponda wadada wanapenda pesa nyingi na wahongaji wenyewe hawaonekani jinsi pilika zilivyo.. Maana nikiangalia mazingira yanayonizunguka kuanzia shule, chuo...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Habari Nahitaji mwanamke mzuri, open minded na muaminifu tuwe partners katika mambo ya maisha tunayoendana lakini hasahasa kwa ajili ya kuridhishana kimwili na kuliwazana kama some sex, massage...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mm naishi arusha,
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini za mihangahiko wakubwa zangu najua wengi ni wakubwa kwangu waliomo humu ndani kwa hiyo naombeni mnisaidie Hili suala linalolisumbua sana akilini katika haya maisha kiasi cha kunipa...
1 Reactions
124 Replies
14K Views
Ipo hivi: Nimekutana na wanawake wengi na linapokuja swala la mapenzi, wengi wao hupendelea kuwe na giza. Je, ni nini hasa siri ya hii kitu?
0 Reactions
81 Replies
23K Views
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia idadi kubwa ya wanawake wakitumia njia mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa. Wapo ambao wamekuwa wakitumia dawa za Kichina licha ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna watu bhana umewatongoza,wamekutosa,walijifanya njia panda sitaki nataka,msg hawajibu,WhatsApp hareply kama hawakujui,Facebook ndo hawakuoni.....yaani bwembwe za mwanzo wanareply,baada ya siku...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo Tanga safarini,natafuta binti wa Kiarabu anipe kampani
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAWAKUMBUSHA TU: Kwa Mliokuwa na Mipango ya kuoana Mwaka huu; ZIMEBAKI SIKU 14 TU →Kama mliahidiana kwa bahati mbaya ni bora mkaambizana tu →Kama hamjajiona mmetoshea maisha ya ndoa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika jambo lolote unalofanya kwenye maisha, kuna watu watakuwa wanashindana na wewe, hata kama hawashindani wanajipanga kukushinda. Kama unafanya biashara, wakati wewe unakazana usiku na mchana...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina umri wa miaka 28,mahusiano ya mapenzi nimeanza mwaka 2002 wakati huo nikiwa kidato cha kwanza,nakumbuka kufikia mwaka 2014 nilikuwa nimefanya mapenzi na wanawake wastani wa 15,mimi ni...
1 Reactions
55 Replies
9K Views
Back
Top Bottom