Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

SIJUI NI NDOTO AU UKWELI MI SIJUI.... Ndoto hii ilianza kunitokea Mwanzoni mwa mwezi Huu wa Tatu" mpaka sasa imefikia mahali ambapo mimi inanipa wakati mgumu kuamini kile kinachoendelea. Kwa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habari zenu wadau! ni madhara gani mwanaume anaweza kuyapata kwa kugegeda kila siku hamna siku inayorukwa..
0 Reactions
34 Replies
12K Views
JE WEWE UPO KWENYE KUNDI GANI KATI YA HAYA? Kuishi ni hatari, ndio kila siku tunakutana na hatari mbalimbali, lakini hatuachi kuishi.Katika maisha tunakutana na hatari mbali mbali, kuna ambazo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU, Nimekutana na suala hili hii ni mara ya pili, utakuta mtu anaenda hospitali akiwa na makonfidensi kibao, mwisho wa yote huishia ukingoni. Nikiwa na maana mtu umeenda...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Za majukumu wanabodi? Leo, jioni hii nilikuwa narudi home, kuna bidada mmoja alikuwa kavaa kisketi hicho kuanzia magotini hadi karibu theluthi ya mapaja yote ilikuwa ni kivutio cha abiria...
0 Reactions
63 Replies
10K Views
Hawayuni? Kipindi hiki cha likizo ndefu Kenya na haswa watu wanaposherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya watu wengi hupenda kutembea baharini kama Mombasa. Wengi hupenda kuogelea na...
0 Reactions
60 Replies
14K Views
Nawasalimu, Haiwezekani baba mkwe kusema nimkopeshe hela halafu harudishi, karibia mwaka mzima sasa, mimi sina pesa za kuchezea Haiwezi kuvuka 2 month kabla ya kupiga simu na kudai nimpe laki...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Habari zenu wana JF, Yapata mwaka mmoja tangu kuachana na aliyekuwa mpenzi wangu.Tulipendana sana na tuliishi maisha ya furaha mda wote hatukuwai kukwaruzana na hii ni kutokana na kila mmoja wetu...
0 Reactions
21 Replies
15K Views
Habari za asubuhi wana jamvi. Naleta kwenu utata huu unaoisumbua akili yangu, wengi mwaweza kuona kama jambo dogo lkn kwangu limekuwa mzigo mkubwa naomba msaada wa mawazo ili mahusiano yangu...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
utamjuaje rafiki wa kike wa kweli ikiwa ww ni wa kiume
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jaribu mwenyewe uone. Mpe hela mwanamke lazima akwambie asante baby i love u. i love u kwa mwanamke ipo karibu sana akiona hela. Bisha.
4 Reactions
255 Replies
22K Views
Habari za wakati huu wana MMU, nimekutana na hili sehemu mbili tofauti. Unakutana na mtu eneo fulani, tangia kupoteana yafika kama miaka 4 hamjaonana, tangia mko kijijini mlipotoka. Unafurahi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za jumapili wanajamvi la MMU? Huyu ni kaka yangu tumbo moja na aliyenilea na kunisomesha toka kidato cha kwanza mpaka cha nne ana mke na watoto watatu mmoja yuko form1 na wengine...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jamvi? Katika mahusiano kujuana vyema ni jambo la kawaida na raha sana, lakini je, unaweza mpenda mwenzi wako, kumzoea, kumjali n.k lakini ushindwe KUJAMBA MBELE YAKE? watakaochukulia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Leo napenda kushare na nyinyi juu ya hili swala la lawama kwa pande zote mbili. Siku hizi imezuka misemo utasikia eti "wanaume/wanawake walikuwa zamani bwana siku hizi hakuna...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini wandugu na poleni na majukumu ya kila siku, 2014 mwishoni nlitumiwa sms ya salamu ya kawaida tu na namba...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habar zenu wakuu. Nimekuwa nikishangazwa na wana MMU wengi kuwa na tabia ya kutopuuzia thread yoyote inayowekwa kwa kuchangia tofauti na majukwaa mengine mnataka kuniambia ndo kukua kifkra?
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Kwa kweli imebidi tu nije kulianzishia mada manake najiuliza sipati jibu kabisaaa!! But I don't intend to offend anybody!! Kuna wadada wananichangazaga sana japo nakiri wazi ni very small...
4 Reactions
375 Replies
26K Views
Habari wadau.. Naona kelele za kuponda wadada wanapenda pesa nyingi na wahongaji wenyewe hawaonekani jinsi pilika zilivyo.. Maana nikiangalia mazingira yanayonizunguka kuanzia shule, chuo...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom