Hongereni wapendwa kwa pilika pilika za maandalizi ya mwaka mpya.
Kuna rafiki mmoja hivi (Jina kapun) alikuwa anatembea na mke wa mtu kwa muda mrefu tu, Ila mke ni mkubwa sana kwa mshikaji, mke...
Habr zenu wanaJF,
Nimejarbu kuutafuta ukweli wa mmbo haya bila mafanikio
1:kwann wanawake hawana misimamo mara nyingi,yaani anakataa na kutusi then anakubr !!??
2:Mwanamke kukubar sifa hata kma...
Ikiwa ww ni mwanume na ungependa kujiepusha na kulea 49% ya watoto wasio wako, yaani wamezaliwa na baba mwingine wakati wewe upo basi tembelea
Utajua dalili 10 za mwanamke asiyetoshelezwa na kwa...
WANAWAKE MSILALAMIKE SANA
Wanawake wengi hulalamika kuwa wanaume ni watata kwenye mapenzi. La hasha wanaume wengi tunapenda mambo yafuatayo
1. Siku zote wanaume huangalia mapenzi kwa wenzi...
Leo kutakua na kikao na sherehe ukweni, mimi ni mnyamwezi wife ni mnyamwezi.
Tatizo lipo kwangu lugha haipandi na kama unanyojua wanyamwezi wakikutana wanavyopenda kuongea lugha sijui nitakua...
naitwa charles.natafuta rafk wa kike ambae baadae tutaweza jenga mahusiano baada ya kujuana zaidi umri 18-24 awe mcha mungu..mengine yatafuata baada ya kujuana zaidi.aliye tayari ani pm
naitwa charles.natafuta rafk wa kike ambae baadae tutaweza jenga mahusiano baada ya kujuana zaidi umri 18-24 awe mcha mungu..mengine yatafuata baada ya kujuana zaidi.aliye tayari ani pm
DUNIA IMEKWISHA
Kuna Msichana huwa ananikera sana
Kila siku yeye kumpondea na kumtukana Paroko wetu nikijaribu kumwambia aache ni dhambi kuwasonta vidole watumishi wa Mungu ananijibu kwa dharau...
Jamani mimi kuna kitu sikielewi, wataalam wa mambo ma mahusiano na psychology mnisaidie.
Mimi niko mikoani, ila nimekaa Dar kwa muda takriban miaka 9. Miaka miwili iliyopita nilifahamiana na dada...
Ni wasiwasi na hofu imejaa katika jamii. Wapo ambao hawaamini lakini wapo wenye kuamini pia. Taarifa hizi zimeifanya taasisi inayoitwa ndoa kuyumba. Mkemia mkuu katupa jiwe GIZANI. Taarifa...
Ndg zangu tenda wema uende zako,wahenga wamenena,jamani tamu ya penzi kupenda upendwapo,huko U.K kulikua na dada 1 aliku anafanya kazi maigration huyo dada ana asili ya kijamaika katika pita pita...
TEXT ZA MWISHO WA MWAKA KWETU SISI
'Dear, kodi ya pango inaisha January 2016 na mwenye nyumba ameongeza kodi. I love you much!'
'Baby, mwakani ofisini nataka niwaonyeshee unavyojua kunitunza...
Habari zenu
Ni kipindi cha siku chache kimepita toka nilipo uliza humu ndani kuwa kuna uwezekano wala kuoa dada na mdogo wake anayemfuata....
Aiseee yaliyonitokea nikuwa baada ya mzazi...
Wadau nawasalim,
Wadau,
Mimi na mke wangu tumekua na mgogoro wa muda mrefu kuhusu nani amfuate mwenzake, maana tunafanya kazi mikoa tofauti, yeye Dar mimi Bukoba, suala la uhamisho...
Hawa ni wake bora ktk maisha.Kama una mdogo,ndugu au wewe mwenyewe njo niende kwenu.Uwe wa mkoa wowote ila upatikane Arusha,Manyara,Kilimanjaro,Singida umri 21-25.PM zaidi
Am in love with these madam.
Salam kwa wote
Ni siku chache zimepita toka niliweka mada nikiwa nataka kujuwa kuwa uwezekano upo au haupo,,,,,pia nashukuru kwa watu walioniita kichaa na kunitukana na walionipa ushauri pia...
Habarini wakuu , mtaa ninaoishi kuna jamaa ana mpenzi wake ambaye alia za nae mahusiano akiwa na elimu ya standard seven na yeye ni mtumishi elimu take PhD , amemsomesha mpaka level ya degree Leo...