Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Salam kwa wote
Ni siku chache zimepita toka niliweka mada nikiwa nataka kujuwa kuwa uwezekano upo au haupo,,,,,pia nashukuru kwa watu walioniita kichaa na kunitukana na walionipa ushauri pia nawashukuru sana
Mrejesho wenyew nikuwa najuta kufanya mambo yale kumpa dada na mdogo mtu mimba, baada ya kuongea na dada mtu alilia sana na kwenda kutoa taarifa kwao kilichofuata nilikamatwa na kuwekwa police sikuku yote nilikuwa police na nimetoka jana mchana na mzee wa binti kasema hataki mimi niowe watoto wake na hata yule niliyekuwa nimeanza kutoa mali naye hataki na kasema mali zangu anazirudisha kabla ya mwaka 2016 na atapambana na mimi mwalibifu wa familia yake,,
Sasa jamani swali langu ni je kwahiyo ndiyo na mimba zangu
amezurumu? Pili,, kwahiyo watoto wakizaliwa watakuwa wa kwao au wa kwangu? Na matunzo atawapa nani? Na je wakija kuwa wakubwa watawambia baba yenu ashafariki au yupo?
Naombeni msaada ni jinsi gani ya kupata na mimi haki ya mimba zangu nilizowapa na kama watatoa nitoe taarifa police au nipotezee tuu?
Note
Nimeongea na dada mtu yeye yuko poa na wala hajamaindi sana na pia kasema bado ananipenda sana tu ila mdogo mtu sijaongea naye chochote zaidi ya salam na kunipa pole kusherekea sikuku nikiwa police na pia kabila lao ni WAHA