Nilimwambia alikuwa mbishi, Leo yamemkuta.....

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,815
Hongereni wapendwa kwa pilika pilika za maandalizi ya mwaka mpya.
Kuna rafiki mmoja hivi (Jina kapun) alikuwa anatembea na mke wa mtu kwa muda mrefu tu, Ila mke ni mkubwa sana kwa mshikaji, mke ana kama miaka 37 hiv alaf jamaa ana 26. Mume alikuwa busy sana na michakato ya kuboresha Familia yake na kiukweli alikuwa anaihudumia Familia yake kikamilifu hasaa. Kutokana na huduma kamili ambazo mke alikuwa anazipata hata muonekano wake kwa kweli unavutia hata huwezi kumdhania kama yupo above 30 na tayari ana watoto 2. Mahusiano Yao sijui yalianzaje maana mimi niliyagundua kwa bahati mbaya tu baada ya kuona picha ya yule mama kweny simu ya mshikaji akiwa amevaa pichu pekee, hapo nikapata mashaka na ndipo nilipomuuliza akawa Hana namna ikabidi aniambie ukweli wote, nikamshauri sana kukaa mbali na yule mwanamke ila alinijibu kuwa namuonea wivu nikaona sio shida nikae zangu kimya na nikamwambia wazi kuwa urafiki wetu uishie hapo maana mimi sitaki matatizo na najua namna mke anavyouma. Imepita miezi kama 2 hivi tangu hayo yatokee juzi amefika ghetto jicho limemtoka anataka nimsaidie hata ushauri.. Ni hivi mwenye mke aligundua mchezo wa mkewe akatega mtego akawanasa, alipowashika akawaambia wavue nguo zote wafanye mapenz huku akiwa anawarekodi video na kuwapiga picha nying nying pia ameniambia amefanyiwa mambo ya kinyama sana ila hajaniambia ni mambo gani, Mume amemwambia mshikaji amchukue yule mwanamke ampeleke aende kwao (kwa mwanamke) akaseme yote yaliyotokea na akaseme kuwa anataka aoe yeye then ampeleke kwao (kwa mshikaji) akamtambulishe kama mchumba wake process za ndoa zianze na yeye atatoa 50% ya gharama zote ili akafaidi vizuri moja kwa moja, ametoa wiki 1 tu huo mchakato uwe umeanza otherwise atampeleka mahakaman maana ushahidi wote upo na/au atasambaza picha na video. Amenifuata nimsaidie mimi sijui hata nianze wapi kumshauri, naogopa kumkashifu au kumkumbusha ushauri wangu nahis nitamuumiza.. Wadau nifanyeje???Daah mke wa mtu sio mazee,..
 
Wapenda mteremko. Kazi yao kubwa kwenda gym na kurudi maskani kupiga soga. Anasubiria baby amrushie pesa kwenye simu.

Mpe pole. Mwambie atulie kwanza. Atubu pia
 
Shida ya kina Marioooooo ndo hii,
Sasa anaona aibu nni kukwambia kuwa kafi.rwa na kufi.rwa
 
Hongereni wapendwa kwa pilika pilika za maandalizi ya mwaka mpya.
Kuna rafiki mmoja hivi (Jina kapun) alikuwa anatembea na mke wa mtu kwa muda mrefu tu, Ila mke ni mkubwa sana kwa mshikaji, mke ana kama miaka 37 hiv alaf jamaa ana 26. Mume alikuwa busy sana na michakato ya kuboresha Familia yake na kiukweli alikuwa anaihudumia Familia yake kikamilifu hasaa. Kutokana na huduma kamili ambazo mke alikuwa anazipata hata muonekano wake kwa kweli unavutia hata huwezi kumdhania kama yupo above 30 na tayari ana watoto 2. Mahusiano Yao sijui yalianzaje maana mimi niliyagundua kwa bahati mbaya tu baada ya kuona picha ya yule mama kweny simu ya mshikaji akiwa amevaa pichu pekee, hapo nikapata mashaka na ndipo nilipomuuliza akawa Hana namna ikabidi aniambie ukweli wote, nikamshauri sana kukaa mbali na yule mwanamke ila alinijibu kuwa namuonea wivu nikaona sio shida nikae zangu kimya na nikamwambia wazi kuwa urafiki wetu uishie hapo maana mimi sitaki matatizo na najua namna mke anavyouma. Imepita miezi kama 2 hivi tangu hayo yatokee juzi amefika ghetto jicho limemtoka anataka nimsaidie hata ushauri.. Ni hivi mwenye mke aligundua mchezo wa mkewe akatega mtego akawanasa, alipowashika akawaambia wavue nguo zote wafanye mapenz huku akiwa anawarekodi video na kuwapiga picha nying nying pia ameniambia amefanyiwa mambo ya kinyama sana ila hajaniambia ni mambo gani, Mume amemwambia mshikaji amchukue yule mwanamke ampeleke aende kwao (kwa mwanamke) akaseme yote yaliyotokea na akaseme kuwa anataka aoe yeye then ampeleke kwao (kwa mshikaji) akamtambulishe kama mchumba wake process za ndoa zianze na yeye atatoa 50% ya gharama zote ili akafaidi vizuri moja kwa moja, ametoa wiki 1 tu huo mchakato uwe umeanza otherwise atampeleka mahakaman maana ushahidi wote upo na/au atasambaza picha na video. Amenifuata nimsaidie mimi sijui hata nianze wapi kumshauri, naogopa kumkashifu au kumkumbusha ushauri wangu nahis nitamuumiza.. Wadau nifanyeje???Daah mke wa mtu sio mazee,..
Sasa mbona hapo sioni shida,kama mwenye mke amemruhusu amuoe mke wake yeye anaogopa nini sasa hapo,au labda hiyo kitu mbaya aliyofanyiwa (nahisi kaliwa nukta) anahofia mzigo hautafanya kazi?
 
Mwambie aache uwoga hakuna kesi hapo, au mpo zenji?
 
Waliambiwa wafanye matusi na dushe lake likasimama????

Na mume akavumilia na kuwashuhudia???

Mmmmmmmmmmmmmmmmmh
Hii ni kweli mkuu, ila hatujui ujasiri aliutoa wapi ila hii Habari ni kweli.. Jamaa amemtimua demu tayari amemwambia aende kwa Mume wake aliyemchagua.
 
Pls pls kideo kikiwekwa online tunaomba utuambie tupate kuona nn kiliendelea... Wee itag video ktk uzi au mpe Nancy Mitikiso wa Rahatupu atuekee link la mji mkanda wa hao porn volunteers.

Ila jamaa aoe tuu mana si walikuwa wanapendana na tayari atawezeshwa nusu ya mahari,sherehe,fungate na viji allowance.
Ashukuru yy anapata mfadhili maana waliyo oa ndoa za ugoni hawakupata bahati kama hio.
 
Kwa jambo hili sina la kusema zaidi ya akimbie mji ay nchi kabisa. ulitaka kumsaidia akasema unaona wivu nini lingine atasikia utakalomwambia...kweli ya mume mtu kali analo.
 
Aiseeh!!!!!! Kwel mke wa mtu sumu. Huyu jamaa atakuwa kajifunza kuwa kila kipendezacho kimependezeshwa
 
Back
Top Bottom