Kidume cha mbegu
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 1,251
- 709
Habari zenu
Ni kipindi cha siku chache kimepita toka nilipo uliza humu ndani kuwa kuna uwezekano wala kuoa dada na mdogo wake anayemfuata....
Aiseee yaliyonitokea nikuwa baada ya mzazi kujuwa kuwa nimempa binti yake mimba na mdogo wake alichokifanya ni kunitafuta na kuniweka police na sikuku sikuiona na hiv nimetoka jana na kupigwa marufuku nisionekan wala kuoa familia yake na kusema tumali twako ulitoanza kutoa tunarudisha kabla ya mwaka mpya..
Mimi nilikuwa naomba msaada kidogo je binti zake wawili wote wanamimba zangu kwahiyo na mimba zangu mzee atakuwa amezurumu? Je watoto wakizaliwa nao watakuwa wa kwake? Na je wakikuwa itakuwaje na matunzo nani atawatunza?
Pia dada mtu yeye kasema yupo radhi atoloke kwao aje kwangu na je mzee akigunduwa kuwa binti yao ametoloka amekuja kwangu na mali wamesharudish itakuwaje?
Naombeni ushauri hiv kama ikiwa hiv unafanyaje?