Wanawake Mapenzini

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
309
Habr zenu wanaJF,
Nimejarbu kuutafuta ukweli wa mmbo haya bila mafanikio
1:kwann wanawake hawana misimamo mara nyingi,yaani anakataa na kutusi then anakubr !!??
2:Mwanamke kukubar sifa hata kma hanazo(mfano;uzuri mvuto n.k)
3:Hisia zake wakti wa kugegedwa(mpka kumfanye aache familia yke na kufata DUDU!!
4:Kupenda Uume mkubwa na mrefu
5:Kumpenda mtu ht km hamjui vzr,mfno:anampenda na kumuamini ht km wamekutana mtandaoni.
Nahitaji majibu na michango yenu kujadili but siamini ktk EXTENSALISM(Kujua mpka uwe muhusika)!!!
 
Sio kila unaekutana nae anakuvutia na ukiona umekutana na mtu mka fall in love ujue yuko ndani ya vigezo vyako. Mfano mm kabla sijaingia kwenye poch appearance, iq, smartness upstairs, etc sifa ya kwanza mwanaume awe msafiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kila kona. Hivi kweli nikikutana na hii kitu ntasita??? A Ahaaaaa kiding. Embu kwanza nigeuze hii pilau ntarudi.

Kheri ya x.mass wapendwa.
 
Mm niliskia walimu wao vipofu sijui huwa anawafundishaga saa ngapi mtafute umuulize utapata jibu tu
 
Sio kila unaekutana nae anakuvutia na ukiona umekutana na mtu mka fall in love ujue yuko ndani ya vigezo vyako. Mfano mm kabla sijaingia kwenye poch appearance, iq, smartness upstairs, etc sifa ya kwanza mwanaume awe msafiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kila kona. Hivi kweli nikikutana na hii kitu ntasita??? A Ahaaaaa kiding. Embu kwanza nigeuze hii pilau ntarudi.

Kheri ya x.mass wapendwa.

mmmmmh!!&pilau haliwez kuungua hebu tupe mawazo yko na kpi unakielewe juu y hisia na mwili wko
 
Hio ya kufuata dufu tu ndo ina load nawaza how , why...

Refer namba nne
 
Sio kila unaekutana nae anakuvutia na ukiona umekutana na mtu mka fall in love ujue yuko ndani ya vigezo vyako. Mfano mm kabla sijaingia kwenye poch appearance, iq, smartness upstairs, etc sifa ya kwanza mwanaume awe msafiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kila kona. Hivi kweli nikikutana na hii kitu ntasita??? A Ahaaaaa kiding. Embu kwanza nigeuze hii pilau ntarudi.

Kheri ya x.mass wapendwa.

mkuu hapo namba nne mbona haujapagusia kabisa
 
wewe nemo judex in causa sua hiyo no 4 hainihusu so long as am happy with him na maisha mazuri. Iwe kawaida tu wastan.
Hapa mjini ukiwa na kitu ndefu bila poch ndefu utaisoma no.

Labda weka picha ya no 4 nichague.
 
Habr zenu wanaJF,
Nimejarbu kuutafuta ukweli wa mmbo haya bila mafanikio
1:kwann wanawake hawana misimamo mara nyingi,yaani anakataa na kutusi then anakubr !!??
2:Mwanamke kukubar sifa hata kma hanazo(mfano;uzuri mvuto n.k)
3:Hisia zake wakti wa kugegedwa(mpka kumfanye aache familia yke na kufata DUDU!!
4:Kupenda Uume mkubwa na mrefu
5:Kumpenda mtu ht km hamjui vzr,mfno:anampenda na kumuamini ht km wamekutana mtandaoni.
Nahitaji majibu na michango yenu kujadili but siamini ktk EXTENSALISM(Kujua mpka uwe muhusika)!!!

Yaani hapo kwenye red hata mimi huwa nashangaa sana.
Ndo hivyo mtu akitaka kugegeda lazima atoe sifa.
 
Hahah yaani umenichekesha na english yako.. Daah bora uandike kiswahili tu tena uandike vitu vinaeleweka na sio kufupisha fupisha..
 
Back
Top Bottom