Mahaba niue! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahaba niue!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtaftaji, Jun 8, 2012.

 1. M

  Mtaftaji JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ndg zangu tenda wema uende zako,wahenga wamenena,jamani tamu ya penzi kupenda upendwapo,huko U.K kulikua na dada 1 aliku anafanya kazi maigration huyo dada ana asili ya kijamaika katika pita pita zake akakutana na dreva tax ambae ni mtanzania wakawa marafiki dada alickitishwa na maisha ya yule kaka kwakua yule kaka alikua analala kwenye tax yake, shida yote kwa kua alikua c raia wa kule,dada alikua ana nia safi ya kumsaidia ktk urafiki wakapendana dada akamwambia kaka waoane ili iwe raic kupata uraia basi ndugu zanguni wakaoana,lakin uhamiaji wakatia shaka kua ile ndoa ni ya kupanga kwakua mbona imefanyika ghafla,yule dada alikua na mapenzi jamani akapata akili ya kuzăa ili awathibitishie kua ni wanandoa na c wababaishaji,dada kabeba mimba ya kwanza ikatoka,ya2,ya3,ya4,zt zimetoka,hakukata tamaa kabeba ya 5 mungu ni mwema akazaa mapacha wakiume wa2 yule kaka akapa uraia wa U.K kwa sasa wanamiaka 16 katika ndoa ,mwanaume akadai kuwa anaham ya mtoto wa kike akapendekeza kua aliză mtoto TANZANIA wa kike akamuomba mkewe amfanyie mpango mwanawe nae aende huko walipo wao,mke ana true love akafanya mpango mtoto wa mume akagusa ardhi ya U.K,baada ya mda mume akataka waje na familia yao Tanzania ili aitambulishe kwa wazazi wake Bukoba,wakaja bht mby wakamkuta baba wa mume anaumwa mjamaika akauguza mpaka baba akafariki, mke alikua anapesa alimsaidia mume na familia ya mume,kule U.K mke aliacha kazi na maisha yao ya kawa TZ, wakpta mtoto mwengine wa kike anmiaka 7 sasa,mume akawa msaliti kwakua mke hajui kiswahili mume akawa ana tumia kiswahili kuwasiliana na kimada wa kitanga, gari za mwanamke zilikua 3 mume ăkauza na 1 akampa kmada, mke akawek bondi nyumba ya u.k ili kukidhi mahitaji kwani mume anakazi nzuri sasa u.k ila hana msăda kwa familia, sasa amempelek√§ kimada katika nyumba ya mke na kumhatarishia mke amani, kamtelekeza mke ugenini akiulizwa anasema hana mapenzi alitaka uraia wa U.K,watoto kawakana anasema si wake,wana jf uwanja wenu huyu mke anastahiki malipo hayo.
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  umehitimisha na swali ambalo halijakaa vizuri, sidhani kama kuna mtu atapendezwa na hili na mbaya zaidi maoni utakayoyapata hapa sina hakika kama yataleta muafaka wa mahusiano yao
   
 3. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Mhh hii dunia ina mengi.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 4. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  huyu mama nilimsikia wakimhoji clous fm....ni mjamaika aliolewa kwa mhaya mmoja, alishaenda hadi bukoba kuuguza mkwe, huyu mama ameteseka hakuna mfano, fikiria hadi sasa yuko hapo bongo nasikia anatafuta msaada hata wa haki za binadamu tu...walivyokuwa wanamhoji, nilisikia alimpa huyo mhaya mil. kama hamsini au sitini hivi ambazo yeye alichukua mkopo huko uk ili mhaya huyu aje ajenge nyumba warudi waishi hapa bongo....mwanaume yule amekula zote na kimada....this is a true story..haki ya nani nilisikitika sana siku ile wale wadada wanamhoji yule mama...ilikuwa asubuhi hivi au jioni kama sikosei.....anasema wamesuluhisha hadi wamechoka...lakini mwanaume anazidi tu kumsaliti mjamaika...watoto wote hao mwenzie atapeleka wapi? akapeleke wakalindwe kwa vituo vya yatima ulaya?....akili mbofumbofu.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ungekuwaa na paragraph, ningesoma labda
   
 6. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  fadhila mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi..
   
 7. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,358
  Likes Received: 6,700
  Trophy Points: 280
  clouds fm!the peoples station.
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Masikini akipata m.a.t.a.k.o hulia mbwata!!
   
 9. Adoe

  Adoe JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Thread nyingine bwana! Migration, Migration, Migration! Ndiyo mnyama gani?
   
 10. M

  Mtaftaji JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Watu km nyie hamkosekani katika jamii nikawaida zenu kutoa kasoro,ht km haitoleta muafaka itakua funzo kwa wengine.
   
 11. M

  Mtaftaji JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  paragraph mpk kwenye computer nilitua mia cm,km unaoshindwa c unaacha kuna haja ya ku coment,watu wengine bwana.
   
 12. awp

  awp JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hata mimi pia niliisikia clouds fm, huyo dada tatizo hataki kurudi kwao so inakuwa ngumu kumsaidia. angekubali kurudi kwao watu wangemsaidia kumsafirisha
   
 13. BABU CHONDO

  BABU CHONDO JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huyo jamaa ni wa kuchoma moto,mwisho wa yote ukimwi,kanogewa na penzi la kitanga.

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 14. g

  georgendenga Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani huko kwa wahaya kuna matatizo gani?
  Hii hadithi ya kweli inafanana na ya rafiki yangu wa karibu sana. Alioa mhaya wana mtoto mmoja wakike, alipoenda kusoma USA akaenda nao.
  Shemeji yangu huyo alimsaliti jamaa akawa yupo kimapenzi na Mmarekani mweusi. Akamshitaki jamaa kuwa huwa anamnyanyasa na kumpiga na anamiliki siraha. Jamaa alienda kufungwa miaka mitatu. Alipomaliza kifungo alirudishwa Tanzania. Huyo dada alichoma moto documents zote za jamaa. Kwa sasa mwanamke anaishi huko akijiuza kupata riziki. Akili za wabongo!
  USHAURI:
  Huyo dada arudi UK akamtimue mwanaume kwenye hiyo nyumba. Aombe msaada wa kulea watoto na aachane na mawazo wa mwanaume km huyo.
   
 15. l

  lutolucy Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo Mjamaica kinachomuuma zaidi ni kutishiwa maisha na mtoto wa kitanga, ndio maana aliomba ushauri. kwa sasa Interpool wanalishuhgulikia hilo swala
   
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  this is why people wanakuwa advised to marry in the same social/economical class. hawa watu amabo wanakuwa bado hawajatulia kimaisha wao akili zao zote ni pesa na jinsi ya kukwepa ugumu wa maisha little attaention is pain to their true hapiness. huyo dada kusema kweli imekula kwake na somehow she has to take the blame
   
 17. M

  Mtaftaji JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kurudi jamaica ina kua ngumu kwasababu kuna nyumba ya kisasa haina mfano ni nzuri vibaya,ramani ya nyumba kachkua jamaica ya gharama sana,yule mshamba wa kihaya anataka amueke mtanga wakati nyumba ya mjamaica ndo maana hataki kurudi ili atetee haki yake.na kumbukeni kila mtu ana haki ya kuishi popote anapopapenda.
   
 18. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,460
  Likes Received: 766
  Trophy Points: 280
  Huyo nyumba ndogo hayuko salama, na kama ushahidi wa matusi mdada anao basi kwisha habari yake ..lazima akajisaidie kwa ndoo siki mbili tatu hzi
   
 19. r

  riziki philip riziki New Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni bora akipata haki yake hyo mjamaika arudi kwao,hawezi jua mungu anamuepusha nannn,japo inauma sana.:angry:
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  La kuvunda hilo!!!!
   
Loading...