NINI SULUHISHO LA WALE 49% WANAOLEA WATOTO WASIO WAO?

Ikiwa ww ni mwanume na ungependa kujiepusha na kulea 49% ya watoto wasio wako, yaani wamezaliwa na baba mwingine wakati wewe upo basi tembelea

Utajua dalili 10 za mwanamke asiyetoshelezwa na kwa hiyo ni rahisi kwake kuchepuka

http://healthandbusinesspoint.blogspot.com/2015/12/49-ya-sampuli-za-dna-zimaonyosha.html
Kutotoshelezwa kwa mwanamke hakusababishi watoto wa nje... Mapenzi ya ngono yana style nyingi sana... Kuna mengi katika hili na si sababu moja tu ya sex dissatisfaction
 
Hii 49% mmeitafsiri tofauti na uhalisia wake. Acheni kupotosha watu.

Mmeambiwa 49% ya watu waliokuwa na walakini wa watoto walionao kama ni wao matokeo ya DNA yalithibisha kuwa si wao na 51% walikuwa ni watoto wao halali. Kwa hali hii inaonyesha ni asilimia Ndogo sana wanaume wanalea watoto wasio wao. Kwa Mimi nilitegemea kuona 100% au 90% kuthibisha bila shaka kuwa si wa kwao . kwa sababu tayari walionyesha wasiwasi
 
ni kweli mkuu ila ""sababu mojawapo ni"" kutokutoshelezwa,
 
Hii 49% mmeitafsiri tofauti na uhalisia wake. Acheni kupotosha watu.

Mmeambiwa 49% ya watu waliokuwa na walakini wa watoto walionao kama ni wao matokeo ya DNA yalithibisha kuwa si wao na 51% walikuwa ni watoto wao halali. Kwa hali hii inaonyesha ni asilimia Ndogo sana wanaume wanalea watoto wasio wao. Kwa Mimi nilitegemea kuona 100% au 90% kuthibisha bila shaka kuwa si wa kwao . kwa sababu tayari walionyesha wasiwasi

Hiyo ni kweli kabisa, ila unatakiwa kushtuka na kucheki unaendeleaje na familia yako
 
Kila mtu anaamin yeye ni mtoto wa ndani na familia yake ipo sahih, ila anajaribu kuona mwenzie ndio DNA inamuhusu, kazi sana
 
Back
Top Bottom