mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
Habarini wakuu , mtaa ninaoishi kuna jamaa ana mpenzi wake ambaye alia za nae mahusiano akiwa na elimu ya standard seven na yeye ni mtumishi elimu take PhD , amemsomesha mpaka level ya degree Leo imefika suala la kuoana kamkataa jamaa kahamua kumnyang'anya vyeti vyote , mpaka sasa jamaa anachanganyikiwa na kulalamika kuhusu gharama alizotoa kumsomesha yule mwanamke na anadai arudishiwe gharama zake zote alizotoa , wanaume wenzangu msifanye haya kumuamini mwanamke asilimia zote hawa watu kizungumkuti wanabadilika muda wowote