Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
DUNIA IMEKWISHA
Kuna Msichana huwa ananikera sana
Kila siku yeye kumpondea na kumtukana Paroko wetu nikijaribu kumwambia aache ni dhambi kuwasonta vidole watumishi wa Mungu ananijibu kwa dharau eti Watumishi walishakufa waliobaki ni wavumishi tu
Kiukweli ijapokuwa ni rafiki yangu nimesoma nae lakini nishamchukia teyari yeye kila nikimwambia bw Asifiwe anasema asifiwe kwani yee nani?
Nikajua usichana unamuaribu lakini Jana Boxing day Kanitumia Picha wanakiss na Paroko katika mavazi ya kulalia.
Sasa LEO SIENDI KANISANI NIPO KWENYE MGOMO BARIDI huku nikiendelea na Uchunguzi Kubaini Ukweli juu ya hilo ili nijue naamia Kanisa Gani.
Huu ujumbe kauweka rafiki yangu. Sijamuunga mkono. Kwasababu zifuatazo
moja Sio mtumishi wa Mungu ataekupeleka mbinguni kwaiyo sioni sababu ya kuhama kanisa.
Pili hata watumishi wa Mungu nao ni watu kama wengine nao watahukuniwa kwa makosa yao siku ya mwisho.
Je kwa maoni na mtazamo wako yupo sahihi kwa hayo mawazo yake na wewe toa maoni yako ungechukua hatua gani? Weka udini pembeni tumia busara kutoa maoni.