Meseji za mwisho wa mwaka duh hatari zaidi.

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,220
TEXT ZA MWISHO WA MWAKA KWETU SISI
'Dear, kodi ya pango inaisha January 2016 na mwenye nyumba ameongeza kodi. I love you much!'
'Baby, mwakani ofisini nataka niwaonyeshee unavyojua kunitunza, yaani kifupi nataka mwezi mzima nisirudie nguo, nataka nikafanye bonge la shopping 3,000,000 tu inatosha.'
'Mpenzi, sasa boss utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on new year's eve? Missing you badly!'
'Sweetie, naomba uniongezee TShs 900,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu. Kiss and hug.'
'Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hii. Kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love. Bye!'
'Sweetheart, nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama TShs 200,000 ukiweza.
 
Moja katumiwa leo 'dear ninunulie 90,000 luku mita namba 031674920xxx kwa emupesa' na jamaa ni street walker tu kabaki kutoa macho tu
 
Master duu ukiwatongoza wanakugeuza Dingi... Mapenzi Kidogo Mizinga kibao
 
TEXT ZA MWISHO WA MWAKA KWETU SISI
'Dear, kodi ya pango inaisha January 2016 na mwenye nyumba ameongeza kodi. I love you much!'
'Baby, mwakani ofisini nataka niwaonyeshee unavyojua kunitunza, yaani kifupi nataka mwezi mzima nisirudie nguo, nataka nikafanye bonge la shopping 3,000,000 tu inatosha.'
'Mpenzi, sasa boss utamdanganya vipi kuhusu ile safari yetu ya Zanzibar on new year's eve? Missing you badly!'
'Sweetie, naomba uniongezee TShs 900,000 niweze kumalizia school fees ya mdogo wangu. Kiss and hug.'
'Mama na wadogo zangu watakuwepo wakati wa sikukuu hii. Kwahiyo naomba hela ya shopping ya chakula my love. Bye!'
'Sweetheart, nimeishiwa naomba pesa ya mafuta kama TShs 200,000 ukiweza.
Mnawapataga wapi wa namna hii??? Au huwa mnaingia na gear ya four wheel drive wakati mko kwenye lami???
 
Back
Top Bottom