Kama umeambiwa kufunga ndoa sehemu ya kwanza mlokutana.

SPECIAL TMN

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,111
807
Habari wakuu,

Kama umeambiwa ufunge ndoa sehemu ya kwanza uliokukutana na mpenzi wako yakwako utafungia wapi?

Natanguliza shukrani.
 
Last edited by a moderator:
Nitfungia kanisani kwa sababu mara ya kwanza nilikutana nae kanisani
 
mm ntafungia naye kwenye simu mana mara ya kwanza nmekutana naye facebook
 
Back
Top Bottom