Kwa yeyote anaye mjua naomba ani PM !
Tulisoma wote miaka ya 1991 _ 94, Lugalo(jwtz) sec. School kwa sasa inaitwa makongo sec. School
Miaka hiyo alikuwa anaishi na baba ake mdogo mzee kimambo...
ni msichana mrembo sana kamehitimu degree juzi juz tu
nilimfuatilia mda mrefu sana ila hataki kukubaliana nami
now anatoka na jamaa mmoja hiv mwenye tabia ya kutambulisha wanawake kwa ndugu...
Ma ladies na ma gentlemen.....
Kama nilivosema hapo juu hiki nikisimuliacho nimekosa jina au neno la kuweka kama kichwa cha habari au uzi.
Iko hivii......
Week end hii iliyoisha nilienda Mbeya...
Hawayuuuni!!
Mimi ni kijana under 25,nina mpenzi nilianza nae uhusiano soon after six b4 joining university.
Nilimpenda sana na nafikiria kuwa awe yf wngu,ktk mapenzi yy alikuwa mgeni kwani mm...
Wasalaam
wana Jf......
Sijui kama hili ni tatizo ama ni hali ambayo inanitokea kutokana na mengi mabaya niliopitia katika mahusiano yangu.
Ni kweli mimi ni mwanaume lijali...
Kheri ya Noeli kwa wana familia wa jamiiforums. Tuombeane kheri ili panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu tuone mwaka ujao.
Kama wahenga walivyosema, "ukubwa dawa". Kuna ndugu na rafiki yangu kaja...
Kuna mgogoro wa kimaslahi kati yangu na mke juu ya mwelekeo wa kiimani wa watoto wetu, hii ni kutokana na sisi wazazi kuwa na dini tofauti
Wakati mwingine watoto hawa huudhuria ibada kwenye dini...
A lady 27 yrs of age,beautiful,God fearing,educated,employed,n classy,but still single with no hope of getting her Mr right..Deep down inside my heart i see myself a wife material n i envy any man...
Mwanaume akimtongoza demu, pia huwa haonyeshi kuwa amekufa kiviile akiamini kuwa, demu atamsumbua.
Hali kadhalika demu aliyetongozwa nae huwa haonyeshi amemshobokea jamaa kwani anaamini...
Habari zenu kaka, dada, mama na baba zangu.
Jana nilitoka out na msichana wangu (nategemea kumfanya mke) nikampeleka mahali Fulani penye hadhi kidogo kwa chakula cha jioni, basi katika story za...
Nina mchumba nilimpata humu humu jf ila nahitaji marafiki wa kike kwa ajiri ya kushauriana...kuelekezana kimaisha n.k
Wenye elimu kuanzia STD VII na kuendelea hasa ndio hitaji langu.
Ni pm...
Hii ni habari mbaya kwa wale wenzangu na mie msiotaka kufunga ndoa hadi utie mimba kwanza kwa kuogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia... Muongozo huo ulitolewa na kanisa moja mjini mbeya (jina kapuni)...
Kutokana na sababu kadha kwa kadha unaweza kujikuta upo ndani ya uhusiano ambao hauna future yeyote,yaani unakuwa na mwanamke kwaajiri ya kupasha ring tu...
Sasa hapa nilichokiona kwa.muda sasa...
ANGALIZO LA LEO
Mkeo akisema atatoka na Watoto tu kwenda beach. using'ang'anize kuungana nae, huenda watoto wanaenda kuonana na Baba yao.
Si mnajua tena mambo ya 49% ya dna