MAMA LAO 1
Member
- Feb 13, 2013
- 41
- 10
Kwa yeyote anaye mjua naomba ani PM !
Tulisoma wote miaka ya 1991 _ 94, Lugalo(jwtz) sec. School kwa sasa inaitwa makongo sec. School
Miaka hiyo alikuwa anaishi na baba ake mdogo mzee kimambo maeneo ya super/makonde mbezi beach
Na miaka ya 2004 nilikutana na kaka ake akaniambia kuwa Anna anaishi morogoro nilimuomba mawasiliano yake akasema hana, nikampa za kwangu, ila cjawasiliana naye mpaka leo!