Ananipenda mpaka naona huruma

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
309
Hawayuuuni!!
Mimi ni kijana under 25,nina mpenzi nilianza nae uhusiano soon after six b4 joining university.
Nilimpenda sana na nafikiria kuwa awe yf wngu,ktk mapenzi yy alikuwa mgeni kwani mm ndie nilifanikiwa kuutoa USICHANA wake.
Ananipenda mno haipi cku bla cm wala sms na akitongozwa anasema kwangu ila upnde wangu kuna bnt mwingne alomalza diploma accountancy yupo field y mwisho ameingia ktk moyo wng kwa mbali but bdo cjaggeda!!!!
Kila nkiwa krbu na huyu wa diploma namkumbuka huyu niliyemtoa usichana (Classmate wangu o'level)
Naona km napotea kutokuwa mwaminifu kwake!!!Analia mara nyingi kuwa ananpenda na anatamni niwe mumewe,NIPENI mawazo yenu.
 
Lithamini Sana Chozi la mwanamke linalotoka kwa Ajili Yako. Ipo siku Utalihitaji na Hutaliona tena, ni wakati wa kumuonyesha ukupendae kuwa hajakosea kukupenda wewe..
 
Maneno mazito
 
Dah mpende akupendae ucmtupe anaeibuka now mana hujui siku wala saa utakapo dondosha chozi na kukimbilia sumu ya panya kisa umetenwa na anaekupenda ambae ni mchumba wa mtu mwngine kwa sahyo dah hakika nawaambieni wako wengi waliotamani kupata penzi na pendo la kweli lkn walishindwa kutokana na management ya mpenz zaidi ya mmoja ss bc fumbo hilo ni lako na ni maisha yako fumbua ukaishi kwa amani
 
Hawayuuuni!!
Mimi ni kijana under 25,nina mpenzi nilianza nae uhusiano soon after six b4 joining university.
Nilimpenda sana na nafikiria kuwa awe yf wngu,ktk mapenzi yy alikuwa mgeni kwani mm ndie nilifanikiwa kuutoa USICHANA wake.
Ananipenda mno haipi cku bla cm wala sms na akitongozwa anasema kwangu ila upnde wangu kuna bnt mwingne alomalza diploma accountancy yupo field y mwisho ameingia ktk moyo wng kwa mbali but bdo cjaggeda!!!!
Kila nkiwa krbu na huyu wa diploma namkumbuka huyu niliyemtoa usichana (Classmate wangu o'level)
Naona km napotea kutokuwa mwaminifu kwake!!!Analia mara nyingi kuwa ananpenda na anatamni niwe mumewe,NIPENI mawazo yenu.

Sasa wewe umempata mtu anayekupenda kisha unasema tena haumpendi una akili kweli wewe ama unatawaliwa na ujinga mpende akupendae acha ukora wewe utakuja juta shauri lako
 
Back
Top Bottom