Habari wadau,
Mimi ni kijana nimempata mdada mmoja nikampenda sana sana ila tatizo ananiambia anamchumba anasoma chuo.
Mimi nafanya kazi nimemshauri amwache nimuoe amegoma kabisa.
Nifanyeje wadau? Sijui kwa nini ananikataa au kwa vile nina mtoto mmoja na mtu anayemjua ambaye tulishaachana au ni nini?
Nisaidieni namna ya kuweza kumpata nishaongea maneno yote mazuri anasema hawezi badilika kwa anayempenda.

Last edited by a moderator: