Yeye hanitaki na pia hataki niwe na mwingine

just-imagine

JF-Expert Member
Aug 18, 2015
374
449
Habari wana MMU,

Mimi ni kijana wa kiume na kuna binti fulani hapa mtaani kwetu nilitokea kumpenda, hyo binti ni mfanyakazi wa kwenye duka moja hapa kitaa sasa mwanaume nkajipa ujasiri wa kuwa naenda pale dukani kwa mahitaji mbalimbali mixer kupiga story kibao mwisho wa siku nkachukua hadi namba.....kusema ukweli demu ni mzuri na kila nikichat nae ana-respond vizuri nkamuingizia gia ya MAPENZI kwa kumtaka tuwe pamoja akagoma kwa kigezo kuwa nimechelewa yeye tayari ana mtu wake...mimi nkaona sio mbaya nkampotezea...

Sasa shughuli ameanza alipoona naanza mazoea na msichana wa hapa hapa kitaa alaf yeye nampotezea akawa analalamika namtupa..ooh mara nimemsusa....uvumi ukaja kuwa na toka na yule mdada mwingine ndo kabisa akaanza kunijibu nyodo kwenye message nikimtumia, nikiwa napita dukani kwake nikimsalimia hajibu....

Sasa mimi najiuliza "yeye si alinikataa kwa kudai ana mtu wake, iweje roho imuume kuona na-date na demu mwingine?".... hii tabia ya wanawake inashangaza au alitaka nimnyenyekee nipige magoti hadi nife....hahaha....
 
Last edited by a moderator:
Story za zaman sana hizi. Enzi hizo shaba ranks na chaka demus ndio mastaa. Pole mtoa mada,na wepesi wa akili.
 
Ungekuwa murderous zaidi endapo ungemchukua huyo ulie nae sasa hivi na kwenda kumnunulia mahitaji kadhaa hapo dukani...
bidada ange kufaa kwa hasira na ghiliba moyoni...
Angeshindwa kujizuia nadhani...
 
Ungekuwa murderous zaidi endapo ungemchukua huyo ulie nae sasa hivi na kwenda kumnunulia mahitaji kadhaa hapo dukani...
bidada ange kufaa kwa hasira na ghiliba moyoni...
Angeshindwa kujizuia nadhani...
Dah teh teh teh we ni silent killer
 
Pamoja na maboresho ya JF sijafanikiwa kuona jukwaa la watoto....haya tumekusikia
 
Hivi jaman shule za serikali ambazo wamefutiwa ada zinafunguliwa lini
 
Back
Top Bottom