Sababu sita kwanini hutakiwi kuacha kujichua ikiwa bado hujaoa(Single)

malimi katoro

JF-Expert Member
Mar 31, 2015
358
153
Watu wengi Walio jaa uzandiki wamekuwa wakijitokea na kubeza kuwa kujichua kuna madhara,hii si kweli bali ni milengo ya kihafidhina ambayo inataka kuendekeza ukaha na umalaya kwa vijana wanaobarehe,kujichua kumekuwepo tangu enzi ,hivyo mtu hapaswi kupinga tendo hili ambalo ni takatifu na sio haramu~

Faida za mtu (mme&mke) kujichua

1.Humfanya mtu kuwa salama hivyo kuepuka hatari ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama vile UKIMWI
2.Haina gharama,huhitaji pesa za kupoteza kumuhonga mwanamke/mwanamme ili kupata burudani
3.Humfanya mme achelewe kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa akiwa na mke wake
4.Hupunguza misongo ya mawazo kwa kukataliwa/pindi migongano ya kimapenzi inapotokea hivyo kumfanya mtu kuishi huru
5.Husaidia ubongo kuwaza na kutafakari vyema na kwa usahihi,mfano mtu anapotaka kujichua itambidi achukue picha/taswira(avute hisia) ya binti au mme anayemvutia ili kukidhi haja yake.kitendo hiki husaidia ubongo kuwa active.
6.Ongeza na wewe msomaji ..
 
ni njia nzuri sana kama mtumiaji atakuwa anafanya kwa kuvaa mpira(condom) halafu akapaka mafuta kwa nje mengi sana kwani vijana wengi hutumia mikono.mikono husababisha michubuko kwenye uume au uke.inapendekezwa utumie mpira kwani hupunguza friction.mafuta yanayopakwa kwa nje huwa yanaongeza burudani kwa anaejichua.
 
Jamani kujichua kuna madhara makubwa kuliko...
1.kumuadhiri mtu kisaikolojia.
2.kusababisha michuboko sehem za siri.
3.kwa mwanaume uume uongezeka kukakamaa na kuwa mgumu pale anapo simamisha.
si vyema kufanya jambo hili kwa ww kijana wa kiume au kike.
 
1.Bila ya nyeto,nadhan kiwango cha ubakaji kingekuwa juu kuliko ajari za bodaboda

Wafungwa magerezani wangekuwa wanazimia kila siku kwa kukosa huduma ya mwanamke..

Wafungwa wote lazima wangekuwa mashoga
 
Punyeto Haina madhara kiafya.

Hongereni vijana
 
Tendo takatifu!!! Kwa maandiko gani ya dini yanayokuongoza?
 
Ila hi dude ni tamu ati jamani!Papuchi inafuata sana.By katibu mstafu CHAPUTA
 
Jamani kujichua kuna madhara makubwa kuliko...
1.kumuadhiri mtu kisaikolojia.
2.kusababisha michuboko sehem za siri.
3.kwa mwanaume uume uongezeka kukakamaa na kuwa mgumu pale anapo simamisha.
si vyema kufanya jambo hili kwa ww kijana wa kiume au kike.

Mleta Mada kaangalia upande Mmoja tu wa tukio.
Kila kitu kina Negative side yake.Huwezi kusema Masterbation ni salama kwa 100%.

Alitakiwa aorodheshe na Madhara yake pia.
 
Watu wengi Walio jaa uzandiki wamekuwa wakijitokea na kubeza kuwa kujichua kuna madhara,hii si kweli bali ni milengo ya kihafidhina ambayo inataka kuendekeza ukaha na umalaya kwa vijana wanaobarehe,kujichua kumekuwepo tangu enzi ,hivyo mtu hapaswi kupinga tendo hili ambalo ni takatifu na sio haramu~

Faida za mtu (mme&mke) kujichua

1.Humfanya mtu kuwa salama hivyo kuepuka hatari ya kuambukizwa magonjwa ya ngono kama vile UKIMWI
2.Haina gharama,huhitaji pesa za kupoteza kumuhonga mwanamke/mwanamme ili kupata burudani
3.Humfanya mme achelewe kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa akiwa na mke wake
4.Hupunguza misongo ya mawazo kwa kukataliwa/pindi migongano ya kimapenzi inapotokea hivyo kumfanya mtu kuishi huru
5.Husaidia ubongo kuwaza na kutafakari vyema na kwa usahihi,mfano mtu anapotaka kujichua itambidi achukue picha/taswira(avute hisia) ya binti au mme anayemvutia ili kukidhi haja yake.kitendo hiki husaidia ubongo kuwa active.
6.Ongeza na wewe msomaji ..

Mzee wa kujichua kumbe ni mchezo wako funguka mkuu.

swissme
 
Back
Top Bottom