Natafuta mchumba msichana

Super human

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,147
748
Mimi ni mkaka elimu dasa LA 7, mrefu futi 8 mweusi ti, fundi ujenzi nahtaj mchumba awe meupe sio sana au maji ya kunde, awe mrembo, elimu kuanzia fomu foo, awe na kazi rasimi, awe mpare, mwarusha, au mchaka, awe mkirisito, mucha mungu, muchesh asiwe amezaa anipiemu
 
Toa pumba hapa futi 8, Mimi na 6.3 wananiita tolu na ninapata shida kulala na usafiri wa daladala hata economy class ya ndege, ods za kuwa mtu mrefu kama wewe ni chache na kama ni kweli basi ukitaja mahala unapoishi watakuwepo watu wa kutaja jina lako na familia yako humu jf kama unabisha taja mahala unapoishi
 
nipo huku mto wa mbu kk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom