Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,083
- 6,921
Habari Jf
Sio kila EX ni EXPIRED, EX zingine ni EXAMPLE:
Utanielewa tu.
Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi
wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na
Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA
kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka
akiwa tayari amevaa pete.
I will tell you WHY!
Kuna watu walipendana sana lakini hao
waliowapenda kwa moyo hawakuoa kutokana na
Situations fulani mwanamke akalazimika aolewe
na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera
ambazo 'wanawake wanapenda' na kako vizuri
financially ikabidi huyu mwanamke aachane na
'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na
wewe.
It doesnt matter how lakini hawa watu wawili
walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana
deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa,
ukamhamisha mkoa wasionane, Ukambadilishia
namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka
hata 6 hawajatiana machoni ipo siku watakutana
Kariakoo kwenye shopping, zile cheche na hamu
na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho
ITV kitakuwa Isidingo Mapenzi yao hayakufa.
Pete haizuii kitu watajikuta wamefanya yao tena
kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu, wewe
ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waapiii, na
huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili
kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga,
wewe umeoa ?
Mahari mwenzio anapiga Bureee bila Mshenga.
Kama nadanganya Wanandoa waje na waseme
hapahapa.
Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm
na Integration, Ndoa ni Fumbo na walioweza
kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa
Mungu, ila Wengi wanadhani wamelifumbua
Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego
ulipo.
Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu
otherwise "UTAOLEA KIJIJI"