Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Modernlady nimekutana na mwanaume asiye modern. Jamani nisaidieni. Tupo kwenye relationship kwa almost 3 years. Mwanzo ilikuwa mambo ya kwenda out na kuenjoy. Nikifikiria kwamba hana mambo ya...
0 Reactions
103 Replies
14K Views
Jamani mtaani kwetu kuna msiba!! Jamaa baada ya kuona hafanani na mtoto na kuhisi mkewe kamshikisha, akaamua kutumia ile old school technic ya kumvizia mtoto akiwa amelalaa na kupitisha uume...
1 Reactions
162 Replies
35K Views
Habari wana jf, Mwenzenu mwaka unaisha cijafakiwa kupata mchumba Naomba sala zenu nifakiwe kumpata mchumba mwaka huu kabla haujaisha ili mwakani nifunge ndoa!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote. Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe...
2 Reactions
111 Replies
23K Views
Siku hizi imekuwa kawaida watoto kuitwa majina kigeni kama Joyce, Jocktan, Mary,John,Abdallah,Mohammed, Yusuphu huku tukiacha majina yetu ya asili yaliyotumiwa na wazazi wetu, haiwezekani...
7 Reactions
113 Replies
21K Views
Mwaka unaisha hivo... pengine mwakani kuna wenye mipango yaku oa au kwa lugha nzuri zaidi kuvuta jiko. Je, utajuaje kwamba mwanamke ulie kutana nae ghafla bin vu ndio pengine mwanamke wa maisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TAMBUA KILA MTU ANA MATATIZO USIONE ANA TABASAMU USONI Kuna wakati ambao unakuwa na matatizo mengi sana kwenye maisha yako na kufikiri kwamba kama ungekuwa kama mtu fulani huenda usingekuwa na...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Wapendwa hongereni kwa kuona mwaka 2016, Jana nilitoka nyumbani midaa ya SAA NNE unusu usiku, lengo langu ilikuwa ni kuzunguka na kuona mji ukoje na watu wameupokea vip mwaka. Nilipotoka...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
@Preta @Nifah @rubii @masai dada @miss chagga @EVELYNE salt @Apologise lady Nb: Hiyo list ni kwa mujibu wa halmashauri ya ubongo wangu, kama haitokupendeza tafadhali usilete mate. #happy_new_year
6 Reactions
83 Replies
11K Views
USIWE ADUI WA MAFANIKIO YA WATU WENGINE Sisi binadamu ni vigumu kuona matatizo yetu, ila ya wenzetu huwa tunayaona haraka sana. Kwa mfano watu wawili wakigombana na kila mmoja akaja kukueleza...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Hayawai hayawi sasa yamekuwa!!! Kijana mmoja mtaa wa jirani amefumaniwa akitoa bikra ya binti wa bosi wake. Imetokea mchana huu ndani ya gari ambayo kijana huyo huendesha. Mtoto alikuwa geti kali...
4 Reactions
48 Replies
26K Views
Mambo vipi jamaan eti mapenzi ni pesa au pesa inanogesha pendo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Toka 2014 sijamsikia wala kumsoma ila nimesoma mtandao mmoja ''VIKI'' akilalamikiwa kwa sms za kitapeli. Atakuambia ana jambo muhimu uwasiliane nae kwa e mail kisha fix zinaanza, Hajitambulishi km...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Hello guys, Nauliza hivi coz mara nyingi mwanaume ndo anatakiwa amtokee mwanamke, na most of girls ninaokutana nao (hata kama wako average in terms of looks) wana tons of male fans and friends...
0 Reactions
51 Replies
8K Views
....ni mchizi wangu nlitamani nimtukane kwa hasira Ilikuwa hiv mchizi alimpenda msichana mmoja hapa kitaa sasa akapiga mishe za kumpata akafanikiwa sasa kitimbwi kikaanza pale yule rafiki yangu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wana JF, Wenzangu zatoka mwakajana? Swali langu ni hili kwanini wanawake walio olewa wanapenda kamchepuko?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nasikitishwa na haya majina nayosikia wadada wanaitwa kila siku; Especially Malaya. Lunch leo Nimekaa na wanaume wanamsema mrembo flani, mwenye BAHATI ya kuvuta mashine za ukweli, $$$, you...
10 Reactions
257 Replies
23K Views
VITU VIDOGO AMBAVYO VINAWEZA KUHARIBU SIKU YAKO Mara nyingi huwa tunaruhusu vitu vidogo vidogo sana kuharibu siku zetu. Na sio vitu vile vinaharibu, bali sisi wenyewe tunaharibu siku zetu kutokana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
HAKUNA MTU ANAEJALI MAISHA YAKO ZAIDI YAKO MWENYEWE ACHA KUJISHTUKIA Kuna wakati ambapo tunajali sana kuhusu watu wengine wanavyojali kuhusu maisha yetu.Tunafikiri kwamba watu wengine...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…