blackforest
New Member
- Dec 8, 2015
- 4
- 0
Kwa utafiti niliyofanya, nimegundua Wanaume wengi wanavutiwa zaidi na mwanamke weupe kuliko weusi. Unakuta wanawake wawili labda wanafanana features kama face shape, macho, figure lakini tofauti rangi, basi yule mweupe ndo anashobokewa kuliko mweusi.
Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.
Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.
Wanaume nawashangaa, wako tayari kuwa na mwanamke shapeless, sura imekomaa, mladi ni mweupe.
Ni ushamba au mimi tu nina mtazamo wa tofauti. Kwanini tunajikataa waafrica uhalisia wetu.